Recent content by Goldzone

  1. G

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Jipatie TV, redio, home theater, pasi, majiko soundbar na vingine vingi kwa bei ya store

    Aisee natafuta jbl bar 1300X vipi ipo?
  2. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Mimi kwangu angemchukua Duran jamaa ni goalmachine afu powerful hana mbwembwe afu miaka 21 mshahara bado mdogo
  3. G

    JamiiForums Tanzania Ukraine yakiri kumuua Jenerali wa kikosi cha nyuklia wa Urusi

    Aisee!!
  4. G

    JamiiForums Tanzania Magazeti ya Marekani yamemponda Macron kwa kutaka kuwaingiza chaka la Dubu

    Aisee uko mbali na dunia!🤔
  5. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Aisee hivi dogo umeomuona vizuri au unaongea tu huyo dogo hapa juzi City na Chelsea walitaka kufanya hujuma Arsenal ilibidi waingilie kati ndo akasajiri mkataba bonge la kiungo hilo.
  6. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Uko sawa kabisa
  7. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Hii kitu watu wanachukulia poa lakini mimi niliifatilia kuna mchezo
  8. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Inaweza kuwa hujuma maana wao walikuwa hawatelezi ni kama walijiandaa na viatu vya mvua
  9. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Afu hawa Liverpool kuna kitu walifanya uwanjani baada ya halftime wachezaji walikuwa wanateleza sana uwanja uchunguzwe.
  10. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Na Santiago Gimenz pia
  11. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hawa ndio Wasakata kabumbu maarufu nchini, mimi nikiwa shule ya msingi huko mkoani!

    Kwanini aliitwa zigzag?
  12. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Huyu sio mpambanaji kwahiyo sio rahisi kuumia wa hivi huwa hawaumii
  13. G

    JamiiForums Tanzania Pale dunia inapofumbwa kwa yale yanotokea nchini Sudan

    😂😂😂
  14. G

    JamiiForums Tanzania Mwanza City: The Photo Gallery

    Nimeiona Kaka 🙏🙏
Back
Top Bottom