Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 7,149
- 7,966
Hakika, drone ingefikia mitaa ya nyasaka, bwiru, isamilo, ilemela, nyamhongolo, nyegezi, buswelu.n.k ingekuwa poa sanaNaona hospital ya wilaya Kwa mbali hapo
Hakika, drone ingefikia mitaa ya nyasaka, bwiru, isamilo, ilemela, nyamhongolo, nyegezi, buswelu.n.k ingekuwa poa sanaNaona hospital ya wilaya Kwa mbali hapo
Ok sawa nashukuru kwa kunijulisha kwahyo wale waliokuwa wanauza mbao mule wameondolewa kwa sasa?Saba Saba mkuu
Cathedral itakapokamilika itakuwa moja ya sehemu ya kivutio cha utalii sina shaka umaliziwaji wake utakuwa wa mguso wa kipekeeRC CHURCH KAWEKAMOView attachment 2557661
KabisaaCathedral itakapokamilika itakuwa moja ya sehemu ya kivutio cha utalii sina shaka umaliziwaji wake utakuwa wa mguso wa kipekee
Njoo kwenye groupWadau kuna mtu alikuja na taarifa juu ya ujenzi wa mall mpya maeneo ya Nyakato ningependa kufahamu maandalizi/ujenzi umefika hatua gani na mradi ni wa taasisi binafsi au vinginevyo?


..ndo utapata info za kutosha Kwa manufaa ya wengi tupia japo kiduchu taarifa juu ya huo mradi japo kwa juujuu tu
Information bado ... Zaid tu ya site wanafanya clearanceKwa manufaa ya wengi tupia japo kiduchu taarifa juu ya huo mradi japo kwa juujuu tu
Ok sawa mdau nashukuru kwa taarifa ni Nyakato sehemu gani ?
National paleOk sawa mdau nashukuru kwa taarifa ni Nyakato sehemu gani ?
Namimi
Nimeshakutumia mda sana
Nitumie na mm mkuu
Na mimi
Ingia PMNa mimi
Nimeiona Kaka 🙏🙏Ingia PM