Ndo tatizo la kunyoosha vizuri, hio nguvu ungetumia kwa mkeo wala usingewaza ujinga ujinga.
Njia kuu unagusa gusa afu mchepuko unasimamia kucha, ndo madhara yake hayo kaka. Afu kesho ukisikia boda boda anakunyooshea unarusha ngumi.
Jipange tu kiume ukayamalize najua wanaume hatukosi vya kujitetea.
ile scania ya happy nation ilikuwa inaitwa sauti ya manka acha kabisa mzee, nakumbuka tuliikodi wanachuo mbeya ilitoka saa 12 asubuhi dar tulifika saa 9 kipindi ile hakukuwa na tochi wala checkpoint.
umenikumbusha mbali aisee ndugu.
zamani katika family story ndani ya nyumba.
mzee: mnamuona yule (labda mtu aliyefanikiwa kimaisha au kiongoz fulani) tumesoma nae tena alikuwa anakaa hapa mimi pale na ni rafiki angu mkubwa.
watoto: aisee kumbe baba umesoma nae yule (huku akimuona baba ake bonge la mtu)
leo sasa katika hali...
Habari wana JF, napenda kujuzwa jambo hili la jinsi ya kutumia hio sim card slot kwenye laptop, maana laptop nyingi zinakuja na hio slot na wengi wetu kama mimi hatujui jinsi ya kuzitumia.
mwenye kujua tafadhari nijuze.
asante.
tatizo unaongea kilugha cha kwenu, ungenyoosha kiswahili na kueleza kiurefu imekuaje tungejua ushauri gani unakufaa. hizo data zako kaa nazo wala hatuzitaki na sisi
mawazo finyu haya... fikiria kwanza mwalimu wako wa msingi, sekondari na chuo. (kama umesoma lakini) wako wapi sasa... mtu kuwa na elimu na kitu na kukitoa kwa watu haina maana umpekue na kujua kafanikiwa vipi kwanza... cha kushukuru yeye kawa muwazi kwako ili kama ni safari ya mafanikio muwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.