1. Nyie wamiliki wa bodaboda mmewafundisha madereva wenu maadili ya kuendesha hizo pikipiki barabarani, huo ni ujinga wa dereva wako kujichukulia sheria mkononi, si angesimama na kupewa maelekezo.
2. Mnajua hizo kadhia wanazosababisha pindi ikitokea ajali hata kama wanamakosa.ni vifo vingapi...
Ndugu wana JF hii ishu ya posho naona italipeleka taifa sehemu mbaya
nionavyo mimi ni lazima iundwe kamati ya kitaifa ijadili ishu za posho kwa ujumla ikizingatia
umuhimu wa kila mtumishi na mkulima naye apate posho katka kada zote. tujadili
JF.wakubwa tujikumbushe wenyewe ktk elimu yetu
1.Katoka baba mmoja toka safari ya mbali,kavimba yote mapaja ....
2.Karuka tena karuka mtini hakufikia ......
3.Baba ana ng'ombe,Ng'ombe ni mkali.....
4.
5.
6.
Tumetoka mbali
kaka kuchimba kisima siyo lazima uwe na kiwanja kikubwa, mambo yamerekebishwa sana bomba linachimbiwa chini urefu hata metre 72 mpaka 90 unapata fresh water. usikate tamaa jaribu kuukataa umaskini kwa kujitegemea.
Kwa nini kila mbunge anayechangia lazima anaitaja chadema kasolo mh fatuma amejikita ktk mjadala .hapa kuna mawili
1.Wametoka nje ya mjadala
2.Ni jambo ambalo hawakutarajia chadema kutoka
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.