Kuna kiwanja kinauzwa na jirani yangu hapa Goba Kunguru. Kina urefu wa mita 60 na upana wa 30m. Kina njia,maji na umeme upo jirani. Kinauzwa kwa Tsh 20,000,000. Kama unaitaji kiwanja na unaouwezo wa kununua hicho kiwanja unaweza wasiliana na mimi kwa hii email yangu hili niweze kukuunganisha na huyo mdada mwenye kiwanja.