Plot inauzwa - planned plots buyuni ilala - medium density areas- ina official title/certificate! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Plot inauzwa - planned plots buyuni ilala - medium density areas- ina official title/certificate!

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Not_Yet_Uhuru, Jan 9, 2012.

 1. Not_Yet_Uhuru

  Not_Yet_Uhuru JF-Expert Member

  #1
  Jan 9, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  plot inauzwa -
  iliyopo katika vitalu vilivyopimwa rasmi va serikali "planned plots buyuni ilala", ina title (certificate) na ni pahala pazuri sana kwa kuanza ujenzi. Ukubwa ni zaidi ya square meter 1400. (medium density areas)

  ni makazi mapya karibu na viwanja vipya vya makazi ya waliohamishwa dar international aiport/kipawa.

  Genuine buyers only can 'pm' me!

  No middleman!

  Pamoja daima!
   
 2. Kitope

  Kitope JF-Expert Member

  #2
  Jan 9, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 228
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Weka Bei ili mtu kama mfuko umekaribia na kipimo akupigie simu!! sio kila mtu akupigie tu na kumaliza pesa bila muafaka.
   
 3. R

  Radimkuu Member

  #3
  Jan 10, 2012
  Joined: May 11, 2010
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Weka bei basi, au hauko serious?
   
 4. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #4
  Jan 10, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Weka Bei weweeeeeeee...
   
 5. P

  Parachichi JF-Expert Member

  #5
  Jan 10, 2012
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  ukiona mtu anaogopa kuweka bei ujue atasema bei ya ajabu!milion 100!anahofia watu watamrushia makombora!weka bei watu wajinafas mukubwa
   
 6. g

  gogozito Member

  #6
  Jan 15, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 46
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Mbona waogopa kuweka bei mkuu
   
 7. b

  bagamoyo1 Member

  #7
  Jan 15, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ilala buyuni ndoyo wapi ,
   
Loading...