Recent content by GODZILLA

  1. GODZILLA

    SoC04 Yanayojiri katika usiku wa kutoa zawadi kwa Washindi wa Shindano la Stories of Change 2024

    Mkuu Maxence Melo mbona tulioshinda hatujapata hizo zawadi mpaka leo? Au ni mimi peke yangu? Kulikoni? Niliambiwa tungepata baada ya masaa 48 tokea jumatatu, naona sasa ni masaa 60 na zaidi.
  2. GODZILLA

    Imani potofu huchangia sana umaskini

    Nyota gani aliyonayo kwanza? Angekuwa ana hiyo nyota asingekuwa masikini! Hana nyota yoyote ya kuibiwa.
  3. GODZILLA

    SoC04 Kuundwa kwa kanzidata ya vyeti vya elimu vya kidijitali; Maboresho ya utunzaji wa taarifa za kitaaluma

    Kutokana na uhitaji wa lazima wa mifumo ya kisasa ya taaluma na utoaji wa ajira, ninashauri pawepo na mfumo wa kidijitali wa uhifadhi na upatikanaji wa vyeti vya elimu (accessibility and retrieval) ambao utaunganishwa na taasisi zote za serikali, za binafsi, mashirika binafsi na taasisi zote za...
  4. GODZILLA

    Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

    2007 wakati unaandika hapa nilikuwa darasa la sita. Sasa hivi nimeoa na nina watoto wawili.
  5. GODZILLA

    Adhabu ya viboko ifutwe mashuleni: Madhara yake hayadhibitiki

    Kibongobongo ndio nini? Una data au ripoti zozote za kisayansi au kiutafiti?
  6. GODZILLA

    Adhabu ya viboko ifutwe mashuleni: Madhara yake hayadhibitiki

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  7. GODZILLA

    Adhabu ya viboko ifutwe mashuleni: Madhara yake hayadhibitiki

    Ujinga tu umekujaa! Unahitaji elimu zaidi.
Back
Top Bottom