Kwa kifupi sana ngoja nikusaidie kidogo.
Kwa sasa hivi kwa mujibu wa Muundo wa Serikali za Mikoa hakuna Cheo cha Mkurugenzi wa Maendeleo wa Mkoa,
Cheo hicho kilifutwa mwaka 2002 ambapo kikaanzishhwa cheo cha Katibu Tawala Wa Mkoa.
Story ya ( Wakurugenzi wa Mikoa ma RDD ni ndefu sana Wilayani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.