Yangu ni haya:
1.Mtoa mada umeitoa hii mada ki unchonganishi tu koz unajua ZZK hakuibua hii kashfa(I can explain anachomaanisha ZZK anaposema ametingisha serikali ktk Escrow)
2.Vilevile KAFULILA hakuibua hii scandal,Watanzania tuwe tunasoma jamani,kwa mara ya kwanza hii ishu imeibuliwa na gazeti la the Citizen(hata Kafulila mwenyewe amesema hili),kafulila alichofanya ni kwenda kuisema bungeni baada ya kupewa detailks zote na the citizen hata kabla haijachapishwa
3.Msinielewe vibaya bado huyu bwana kafulila ana hitaji pongezi sana tena sana koz hata kuipeleka bungeni bado ni ushujaa vile vile hata kama hukuigundua yeye.
4.Back to my point number 1 esp the bracket
Watanzania wengi(excluding Chadema,na hiyo ni haki yao kimsingi) tunakubali kuwa ZZK ni mtu mwenye nguvu ya ushawishi ambayo ni very exceptional,hili jambo baada ya kafulila kuliibua lilihitaji mtu kama ZZK kwa kutumia nguvu ya ushawishi aliyonayo lakini pia vilevile kipaji alichojaliwa cha kuelezea a very complex topic in a simple language ambayo hata mjinga akaelewa kinachoendelea,Hili swala lilikuja kueleweka vizuri kwa waTZ wa kawaida sana(sio wewe a bachelor degree holder)baada ya Presentation ya ZZK bungeni then kwa kutumia high convincing power aliyonayo aliweza kusaidia kwa kilichotokea yaliyotokea.
Katangaza wapi? Wacha upunga wewe umejaa chuki mpaka kwenye masaburi.Ndiyo maana nikasema utata. ZITO yeye anatangaza kuwa kaiangusha serikali mara mbili. Buzwagi na ESCROW
Yangu ni haya:
1.Mtoa mada umeitoa hii mada ki unchonganishi tu koz unajua ZZK hakuibua hii kashfa(I can explain anachomaanisha ZZK anaposema ametingisha serikali ktk Escrow)
2.Vilevile KAFULILA hakuibua hii scandal,Watanzania tuwe tunasoma jamani,kwa mara ya kwanza hii ishu imeibuliwa na gazeti la the Citizen(hata Kafulila mwenyewe amesema hili),kafulila alichofanya ni kwenda kuisema bungeni baada ya kupewa detailks zote na the citizen hata kabla haijachapishwa
3.Msinielewe vibaya bado huyu bwana kafulila ana hitaji pongezi sana tena sana koz hata kuipeleka bungeni bado ni ushujaa vile vile hata kama hukuigundua yeye.
4.Back to my point number 1 esp the bracket
Watanzania wengi(excluding Chadema,na hiyo ni haki yao kimsingi) tunakubali kuwa ZZK ni mtu mwenye nguvu ya ushawishi ambayo ni very exceptional,hili jambo baada ya kafulila kuliibua lilihitaji mtu kama ZZK kwa kutumia nguvu ya ushawishi aliyonayo lakini pia vilevile kipaji alichojaliwa cha kuelezea a very complex topic in a simple language ambayo hata mjinga akaelewa kinachoendelea,Hili swala lilikuja kueleweka vizuri kwa waTZ wa kawaida sana(sio wewe a bachelor degree holder)baada ya Presentation ya ZZK bungeni then kwa kutumia high convincing power aliyonayo aliweza kusaidia kwa kilichotokea yaliyotokea.
Hivi hizi sifa anazomwagiwa Zitto kila kukicha ni za kweli au mimi tu ndiye sizing!? Hivi ni kweli Zitto ana akili sana na ushawawishi mkubwa!?
Yangu ni haya:
1.Mtoa mada umeitoa hii mada ki unchonganishi tu koz unajua ZZK hakuibua hii kashfa(I can explain anachomaanisha ZZK anaposema ametingisha serikali ktk Escrow)
2.Vilevile KAFULILA hakuibua hii scandal,Watanzania tuwe tunasoma jamani,kwa mara ya kwanza hii ishu imeibuliwa na gazeti la the Citizen(hata Kafulila mwenyewe amesema hili),kafulila alichofanya ni kwenda kuisema bungeni baada ya kupewa detailks zote na the citizen hata kabla haijachapishwa
3.Msinielewe vibaya bado huyu bwana kafulila ana hitaji pongezi sana tena sana koz hata kuipeleka bungeni bado ni ushujaa vile vile hata kama hukuigundua yeye.
4.Back to my point number 1 esp the bracket
Watanzania wengi(excluding Chadema,na hiyo ni haki yao kimsingi) tunakubali kuwa ZZK ni mtu mwenye nguvu ya ushawishi ambayo ni very exceptional,hili jambo baada ya kafulila kuliibua lilihitaji mtu kama ZZK kwa kutumia nguvu ya ushawishi aliyonayo lakini pia vilevile kipaji alichojaliwa cha kuelezea a very complex topic in a simple language ambayo hata mjinga akaelewa kinachoendelea,Hili swala lilikuja kueleweka vizuri kwa waTZ wa kawaida sana(sio wewe a bachelor degree holder)baada ya Presentation ya ZZK bungeni then kwa kutumia high convincing power aliyonayo aliweza kusaidia kwa kilichotokea yaliyotokea.
Muacheni Zitto Jamani ameangusha serikali mara mbili ni mtu hatari sana....
Katangaza wapi? Wacha upunga wewe umejaa chuki mpaka kwenye masaburi.
Ndiyo maana nikasema utata. ZITO yeye anatangaza kuwa kaiangusha serikali mara mbili. Buzwagi na ESCROW