Eti Makonda kugombea Ubunge jimbo la Ubungo!

Eti Makonda kugombea Ubunge jimbo la Ubungo!

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
123,261
Reaction score
98,289
Ndoto za Makonda kujipa matumaini ya kugombea ubunge jimbo la Ubungo kwa kushindana na Mnyika ni sawa na kibogoyo kutaka avunje mfupa ulio mshinda simba.

Kwa hadhi ya Makonda namshauri aombe viti maalum kupitia kwao.
 
The boy has gained confidence from people who have betrayed the majority by gaining wealth through deceit. He will be wiped with the same "wave". Can't wait to see the Republic of Tanzania becomes People's Republic.
 
Kunawatu kama vibata vidogo kwa umbea.
 
Labda awe mbunge wa familia ya Membe na sio ubungo, mwanasiasa asiejua kujenga hoja hawezi shindana na jabali la ubungo JJ Mnyika.
 
Makonda akawe Konda wa basi tu.... yaani adandie dandie ajenda za watu kujijenga wakati anaharibu reputation yake....
 
Ni haki yake kikatiba,na kumbukeni siasa hazina rafiki wala adui wa kudumu. Lolote laweza tokea
 
CCM kuna viongozi wachapakazi na waaminifu Ila hata cjui Makonda Ana kigezo gani kuwa kiongozi Mkubwa wa UVCCM
>hajui kutetea hoja anayoiongelea

> Ni mpiga kelele zisizo na maslahi

>Hana passion ya uongozi hata kidogo labda uongozi wa familia yake

>Mi ningemshauri atumie taaaluma yake kupata umaarufu na pesa ila sio siasa

> Hana umri mrefu kwenye siasa

NB
CCM ni chama chenye viongozi na wanachama hodari ila cjui kwann mtu kama huyu anakuwa na Say ya malaki ya waadilifu na kuwatia aibu
 
Midahalo inaendelea kwa sasa.... makonda alitaka sifa za kijinga tu siku ile kwa kumdhalilisha mzee warioba ila hukumu yake itaanzia atakapo chukua form ya kugombea ubunge.... am sure hata wafuasi wa ccm hawatamkubali sababu ya upuuzi wake....
 
jamaa ni mwepesi sana sijui kama anaweza kushndana na mnyika labda kwa hilo!!ni miongon mwa vijana wanaotegemea maono ya wazee kujenga hoja paspo lazma,kwanza si mkweli!na si kweli kwamba siasa ni uongo!ni mropokaj na amejitahd sana sik za karbun kujipendekeza kwa jk kwa hoja nyepes!solely apate hata udc labda!
 
Kwa wasio mfahamu Makonda ni huyo hapo chini mwenye shati jeupe akijiandaa kumpa ngumi ya uso Mzee Warioba wakati wa mdahalo wa Katiba Ubungo Plaza. Ikumbukwe kuwa Makondo ni kijana mwenye umri wa miaka zaidi kidogo ya 30 na mzee Warioba ana zaidi ya 70 na anaheshimika sio TZ pekee bali sehemu mbalimbali duniani.
ImageUploadedByJamiiForums1420189389.330128.jpg
 
Back
Top Bottom