Recent content by godwin gerald

  1. G

    JamiiForums Tanzania Nimeijua sababu ya madikteta kukaa sana madarakani

    Mimi naona akae tu hata miaka miaa
  2. G

    JamiiForums Tanzania Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Nauliza kuhusu uwezo wa kitunguu swaum katika kutibu typhoid
  3. G

    JamiiForums Tanzania Dada yangu anataka kutumia cheti changu

    Nitafute kwa hii 0752514927. Nina jambo jema la kukwambia
  4. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahamia Morogoro natafuta wenyeji wa huko tusaidiane

    habari ndugu zangu. Nataka kuhamia morogoro na sijawahi kufika. Naomba kwa wakazi wa morogoro tutawasiliane kwa namba 0752514927. Au godwingerald34@gmail.com. Naomba saaana msaada wenu ndugu zangu.
  5. G

    JamiiForums Tanzania Msaada: Sifa za kujiunga diploma in teacher education

    Hata mmi sijaelewa
  6. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bibi ya ndoa

    Mke wa kuoa. Msichana.
  7. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bibi ya ndoa

    Jaman natafuta mchumba. Bibi wa kuoa. Awe na kujishughulisha
  8. G

    JamiiForums Tanzania Ada na ujasiriamali

    Habari zenu wakuu. Naomba ushauri wenu. Mim nilichaguliwa kujiunga na chuo huko mwanza. University. Lakin nilipofika huko sikujihusisha na masuala ya chuo. Niliamua kukusanya fedha zote nilizopewa. Na sasa nina milion 2.3. Nataka kufanya ujasiriamali. Je ni mkoa gan naweza fuga na kulima
  9. G

    JamiiForums Tanzania Dotto Bulendu: Waliojiuzulu ubunge kuunga mkono Rais, leo hao hao wanaomba kufanya kazi ile ile

    ulicho kiandika ni ukweli mtupu. Ahsante kwa kuugusa moyo wangu
  10. G

    JamiiForums Tanzania Muongozo wa kozi ya kuchagua kwa undergraduate mwaka wa masomo (2017/2018)

    Je aliyesoma bachelor of philosophy with education hufanya kazi gani. Ajira zao ni maeneo gani! Sent using Jamii Forums mobile app
  11. G

    JamiiForums Tanzania Ni nani alitaka kumuua Tundu Lissu?

    bado hujakomaa kiuchambuzi. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekwisha na UKIMWI

    usiogope ndugu kaza moyo Sent using Jamii Forums mobile app
  13. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekwisha na UKIMWI

    pole sana ndugu Sent using Jamii Forums mobile app
  14. G

    JamiiForums Tanzania Tanzania mpya inakuja. Je wadau wa siasa wanamwelewa Rais Magufuli?

    mimi naona kwa sasa Rais aungwe mkono. hayo mengine tutavuka mto tukifika mtoni. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. G

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa wapinzani kuelekea mwaka 2020

    [emoji40] [emoji40] Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom