Ada na ujasiriamali

godwin gerald

Member
Aug 5, 2017
19
10
Habari zenu wakuu. Naomba ushauri wenu. Mim nilichaguliwa kujiunga na chuo huko mwanza. University. Lakin nilipofika huko sikujihusisha na masuala ya chuo. Niliamua kukusanya fedha zote nilizopewa. Na sasa nina milion 2.3. Nataka kufanya ujasiriamali. Je ni mkoa gan naweza fuga na kulima
 
Back
Top Bottom