Recent content by Godo

  1. Godo

    JamiiForums Tanzania Najuta kujiunga na jeshi la polisi

    Dogo acha pombe.
  2. Godo

    JamiiForums Tanzania Mwanaume akifumaniwa, mwanamke anaambiwa asamehe eti wakalee familia ila Mwanaume anaambiwa amuache mwanamke na Si asamehe alee familia?

    Mi nishatoa tahadhali siku nikimfuma asitegemee msamaha ndoa inaisha hapo hapo yaani ukabebe masha...wa ya watu huko na mimi niogelee kwenye mauchafu na kunifedhesha nionekane naishi na malaya atatafuta mume mwingine.
  3. Godo

    JamiiForums Tanzania Ukipata mwanamke anakufanyia haya, hakika hutawaza kuchepuka tena

    Ndio maana tunachupuka hao ni kama wanawake watano umeunganisha sifa zao mwanamke mtamu sana hana sifa za kuwa mke,mwenye heshima mvuto hakuna,msomi na anayekwenda na wakati hafai kuwa mke,mwenye shepu nzuri na sura nzuri anajiamini sana any time anapata mwanaume tajiri, wife material mvuto...
  4. Godo

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume umri kuanzia miaka 34 hadi 45 ili tumalizie pamoja maisha yetu yaliyobaki hapa duniani

    Tunasubiri kutimia kwa yale maandiko"tutajinunulia mavazi na chakula wenyewe ili mradi tuitwe kwa jina lako tufichie aibu" mtoa mada pole sana humu single mother ni kama wote hata habari za kuolewa hawana kabisa wanawaza kurushiwa vi laki vya kula na watoto wao wanakuchora tu.
  5. Godo

    JamiiForums Tanzania Madhara ya unywaji wa Pombe

    Cha ajabu madaktari ndio wanywaji namba moja.
  6. Godo

    JamiiForums Tanzania Leo Shoboka kakataa kufua boxer, iko siku atatamani kumiliki dildo

    Hamna mchungaji hapo RC waliona hilo mapema.
  7. Godo

    JamiiForums Tanzania John Heche: Wanaonitumia fedha, wazitume kwenye akaunti ya CHADEMA

    Huyo jamaa mpaka muda wake uishe atakuwa tajiri yeye na familia yake.
  8. Godo

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya maandamano 2026

    Haya madai ambayo unataka yafanyiwe kazi ni yapi au umeamua tu kuhamasisha vurugu mitandaoni.
  9. Godo

    JamiiForums Tanzania Anachokifanya Fr. Kitima ni utovu wa nidhamu kwa mamlaka ya Kikatoliki

    Huyo Padri amenogewa na siasa za kiharakati mpaka emejisahu kama yeye ni mtumishi wa mungu.Kanisa katoliki washtuke kutoka usingizini hawana Padri ila mwanasiasa wa CDM mpinga Serikali tukufu ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania.
  10. Godo

    JamiiForums Tanzania Vurugu za CHADEMA ndizo zimesababisha watumishi wa umma wasiongezewe mishahara

    CHADEMA wanarudisha maendeleo nyuma na kutia hasara taifa wananchi tuamke tuwapuuze.
  11. Godo

    JamiiForums Tanzania Ni rahisi mno kutoboa biashara ambayo una ujuzi,hobby,taaluma sawia

    Kwa hiyo aliyesomea utawala akafungue nchi yake.
  12. Godo

    JamiiForums Tanzania Kwanini mume wangu hawapendi NDUGU ZANGU?

    Wasingida na wasukuma punguzeni kujaza ndugu zenu mlipoolewa mmezidi.
Back
Top Bottom