Recent content by godmasb

  1. G

    16 Days of Activism 2024: Ulinzi wa Wasichana na Wanawake dhidi ya Ukatili ni Jukumu letu sote, tuwalinde!

    Nadhani ni wajibu wanawake kujielimishaa namna ya kukubali uumbaji wa Mungu na kuwa wanyenyekevu... Kumlinda mtu mwenye kibri ni ngumu Sana... Mtu mwenye hisia nyingi na asie sikiliza ni ngumu pia
  2. G

    Ni jambo gani unalotakiwa kulifanya pindi unapopitia wakati mgumu sana. Fedha na matatizo ya mara kwa mara kama vile kuuguza kwa muda mrefu

    Kubari upo kwenye kipindi cha ugumu na mapito... Kama mwenza hakuelewi.. Acha Mungu akuelewe. Kuna maisha marefu Zaid ya iyo changamoto maana haitovuka mwaka
  3. G

    Jinsi ya kuanzisha biashara bila ya kuwa na mtaji wa pesa.

    Imekaaa poa. Nimechukua. Maskini hukimbia matatizo na matajiri huruhusu matatizo wajipime. Sawa na ukitaka kutafuta ela nzuri. Tumia pesa ili uone inavyo toka na kuingia.
  4. G

    Samsung note 2

    Nauza samsung note 2. Iko poa 450. Net. Kama unataka au unamteja jitengenezeee mazingira. Nichek kwa whatsapp 0784411833
  5. G

    Men With Iron Balls: wanaume siosoma wana balls za chuma kuliko nshomile kwenye kuwamanage wanawake.

    Binafsi nimeenda skul. Na kiukweli hii ngoma iko sahihi. Ila mimi kwakuwa kitaaa kitambo. Nacover kote kote. Nanawapenda wakike waliosoma kinoma kwamaaana ukiwachana awachomoi coz wanajua jamaaa ninajua vyote.
  6. G

    Zima Moto Updates

    Watupe na update interview yao inakaaaje
  7. G

    Zima Moto Updates

    Chwaka kwani name daily news walitoya ya mkaguzi msaidizi pia. Awajamaaa wajanja kweli
  8. G

    Zima Moto Updates

    Uliomba nafasi gani
  9. G

    My Apologies To Mh. Kapuya Na Wengine Wote We Should Follow The Apology Avenue: We Were Wrong!!

    Watanzania tusipende kurahumu na kushutumu tusivyo vijua, nilisha ona hiyo story ni ya uongo kitambo tangu inaaanza, maaana angebakwa angealinika kipind hicho, huyo demu atakuwa mzushi kweli, ila kwa kuwa kapuya ana stutas ndio maaana na wajinga wengi mnapenda kushikilia bango, fanyenu yenu afu...
  10. G

    Nauza mbwa aina ya bull dog

    Mimi pia nauza mdogo ana miezi miwili masikio yamelala colour black n khaki Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
  11. G

    How to use JamiiForums effectively

    i would like to join you in this site for share everything and gain some and to give some. Jaman nami ni mwenzenu. You all welcome
Back
Top Bottom