Bei ni lk6 akiwa mdogo kabisa
Kwa wanaofahamu mbwa, hasa intelligent dogs kama German Sherpherd au Rotwailler hiyo ni bei ya kawaida sana. Kuna wengine wanauza mpaka kufikia USD 800. Pengine ni vema kujifunza kwa nini wana gharama hivyo.
Sasa kama umeshatapa wateja humu ulifuata nini au ilikuja kupima upepoNishapata wateja tayari na mbwa kabaki mmoja tu
Sasa kama umeshatapa wateja humu ulifuata nini au ilikuja kupima upepo
Sasa kama umeshatapa wateja humu ulifuata nini au ilikuja kupima upepo
laki6? mi nataka tu huyo dog afu bull muuzie mwingne.Bei gan
Si umeshaambiwa ni BULLDOG!!?..yani hapohapo ni mbwa na n'gombe pia
Kwa wanaofahamu mbwa, hasa intelligent dogs kama German Sherpherd au Rotwailler hiyo ni bei ya kawaida sana. Kuna wengine wanauza mpaka kufikia USD 800. Pengine ni vema kujifunza kwa nini wana gharama hivyo.
nadhani wana uwezo wa kuelewa kwa haraka sana,na lugha ni yeyote wanaiweza.Kwani Ana tofauti gani na mbwa koko wa nyumbani kwetu?
Bado tunasubiria picha mkuu.miaka zaidi ya sita sasaPicha za mbwa zinakuja
Na labda muhusika ameshabadilisha id.kwa hiyo tutaendelea kusubiria picha Kwa miaka mingine kama hiyo iliyopitaBull dog bongo