Recent content by godlove11

  1. godlove11

    JamiiForums Tanzania Ajali mbaya ya basi la Meridian

    Ajali mbaya ya gari iitwayo meridean ikitokea Moshi kwenda Dar imepata ajari mbaya maeneo ya kimange kwa kukatika paa la ju. Idadi ya vifo na majeruh haijajulikana
  2. godlove11

    JamiiForums Tanzania "Mwanakijiji awaingiza mkenge Watanzania kwa Mgomo Bandia"

    Wap hiyo? Na huo mgomo ulikuwa unahusu nn?
  3. godlove11

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mbowe kuhutubia wakazi wa Mji wa Songea kesho

    Makam wa rahis mtarajiwa anaenda hutubia songea wadau. 1 love pipooooooz
  4. godlove11

    JamiiForums Tanzania Uwiano wa Madiwani wa Arusha huu hapa. Je, Meya Gaudence Lyimo ataweza kukilinda kiti chake?

    Ccm wasijisumbue tena kuchukua form awam ijayo. Watakuwa wanapoteza hela tu
  5. godlove11

    JamiiForums Tanzania Msaada - Gari yangu inakula sana mafuta

    Nunua lingine mkuu. Usinunue gari ambalo hunauwezo wa kulihudumia mkuu
  6. godlove11

    JamiiForums Tanzania NNE BILA! (4-0) ndio habari ya MJINI. . . Hureee!

    Na bado. Wataelewa
  7. godlove11

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada jamani/kazi/

    Pole sana kk. Muombe Mungu atakusikia
  8. godlove11

    JamiiForums Tanzania Askari polisi anyang'anywa bunduki smg no.14302551

    Akiwa anafanya nn?
Back
Top Bottom