hapo patamu..
kwanini hawakupiga marufuku magari kupita eneo hilo , hawakuwa na taarifa za kiintelijensia?
Mkuu taarifa za kiintelijensia ziko kwa ajili ya chadema tu.
nimepigiwa
simu kutoka kwenye eneo la tukio la leo asubuhi kuwa majambazi
walioteka basi kwenye msitu wa kasindaga wamempokonya bunduki escot na
kutokomea nayo kusikojulikana.
Tatizo ni kuwa sasa hivi wananchi hawawezi kushirikiana na polisi tena, kwa sababu polisi wameambiwa wawapige wananchi. Huyu alikuwa kwenye basi kama escort, kumbe hakuna lolote kanyanganywa mpaka bunduki, what a shame
WP preta, habari ya yaeda chini.
ci kwamba kapokonywa, ameificha chini ya viti akakimbilia nyuma ya basi. jamaa walipouliza askari yuko wapi? hakuna aliejibu. kwa hiyo jamaa wamejichukulia silaha kiulaini.
Bravo Majambazi bora mkae nazo hizo silaha ninyi kuliko polisi.