Arushaone
Platinum Member
- Mar 31, 2012
- 15,237
- 13,566
- Thread starter
- #21
Pole na kazi mkuu najua jana ilikuwa balaa, kiujumla Arusha imetuma ujumbe mzito sana Lumumba kwamba 2015 hakuna masihara.
Mkuu huu ndio ulikuwa mkakati wetu kupiga honi ya kupishwa ikulu 2015.
cc Lady doctor.
Last edited by a moderator: