Recent content by Godlizo

  1. Godlizo

    Biashara ya ngono inayofanywa mitandaoni

    Mwamba hufai🙌😂😂😂😂
  2. Godlizo

    Trump kuipiga marufuku application ya Tik Tok ndani ya saa 24 nchini Marekani

    Hebu tuambie uliibiwa nini na Mchina????
  3. Godlizo

    Janga la Corona: Umoja wa Afrika mnatuangusha

    Huo ni umoja wa walevi wa madaraka na pombe
  4. Godlizo

    GE2020 Corona virus: Uchaguzi 2020 kuahirishwa?

    ni 2024 mkuu.. uliositishwa ni wa kura za maoni ya kubadili katiba
  5. Godlizo

    GE2020 Corona virus: Uchaguzi 2020 kuahirishwa?

    Acha kupotosha, Uchaguzi Mkuu wa nini? au wewe pekee umeshaiona 2024?
  6. Godlizo

    Kupatwa kwa Jua: Sayansi imethibitisha Mungu hayupo

    Mungu ni Mungu wa Vita Mura, narudia tena Mungu ni Mungu wa VITA:cool:
  7. Godlizo

    Tuiombee China lasivyo uchumi wetu utayumba

    Hicho kichwa kweli kigumu hata kufuatilia kidogo tu imekushinda? nina wasiwasi na umri wako pengine ulikua DRS 4 au kama ni mtu mzima jitafakari kidogo pitia hapa kwanza "2009 flu pandemic - Wikipedia" kwa hulka yako najua utakua mvivu kusoma na kuelewa.
  8. Godlizo

    Tuiombee China lasivyo uchumi wetu utayumba

    Kama hujui historia ya magonjwa kuwahi kutokea duniani bora ukae kimya, hao wamarekani wenyewe 2009 walikufa kama kuku zaidi ya watu 12,000 virusi vya H1N1(Swine flu), kufikia October 24, 2009 OBAMA declared national emergency..tema mate kabla ya kushabikia ujinga Kwa kukusaidia tu mwaka 1918...
  9. Godlizo

    Kanuni mpya za usajili wa laini za simu: Masuala muhimu ya kujua

    Sasa nikiwa na laini zaidi ya moja inawauma nini, yani kuzaliwa Afrika ni umasikini wa fikra moja kwa moja
  10. Godlizo

    Mabinti mliozaliwa miaka ya 2000s, nani anawadanganya?

    Hawadanganyiki bali wanapenda mavituz
  11. Godlizo

    Watu maarufu duniani waliofariki kabla ya kufikisha miaka 50

    Amina Chifupa waulize CCM
  12. Godlizo

    Nishauri: Mke wangu kanijibu yeye ni mrembo, anatongozwa kila siku na kunambia maisha anayaweza sio lazima kuwa na mimi

    Mkuu kama umesha move on hakikisha pia una let her go, utaishi kwa amani. Pole sana mkuu.
  13. Godlizo

    Israeli Air Force's F-35 Stealth Fighter Went Into Iran's Airspace:

    inawezekana kuna ukweli ndani yake na walishakiri kununua hiyo tec. kutoka Urusi na kuitumia kushambulia maeneo ambayo Syria ilikuwa ikijaribu kufanya program za nyuklia (mpango mzima ukiratibiwa kutoka North Korea ukashtukiwa, wakayasambaratisha maeneo yote) kwa kifupi pesa inaongea.
  14. Godlizo

    Mtu umeoa, lakini bado unakula wake za watu, wako akiliwa, unaanza kulialia!

    Mlaji ni mla leo; mla jana ni kalani? :cool:
  15. Godlizo

    Mungu aiondoe adhabu ya jehanamu ya moto wa milele

    Haya ndo yale yale watu wanaimba kanisani "BORA UTESEKE DUNIANI MBINGUNI UKAPATE RAHA" she*nzi kabisa, yani tunahubiriana vitisho, ubabe, na kuwa masikini wa roho (utokanao na umasikini uliotukuka)? tuwazeni nje ya box wajameni.
Back
Top Bottom