hansrashid
Senior Member
- Nov 26, 2018
- 143
- 109
Marwa_J_Merengo,
Nchi zingine ambako serikali inajaribu kubana wananchi, watu wameshazoea kutumia programu za VPN. Hapa anwani yako haionekani tena. Kuna chaguo mbalimbali, angalia
Binafsi naona psiphone ni app nzuri kwa simu na laptop. Kama network ni dhaifu inaweza kukuchelewesha.
Faida nyingine: ukitaka kuangalia kitu kinachobanwa kwa nchi moja (kama michezo Tv inayoruhusiwa tusema kwa Marekani pekee, basi kwenye priphone unachagua uko Marekani na utaangalia)
Nchi zingine ambako serikali inajaribu kubana wananchi, watu wameshazoea kutumia programu za VPN. Hapa anwani yako haionekani tena. Kuna chaguo mbalimbali, angalia
The best free VPN in 2024
With so many scams about, get a free VPN you can actually trust.
www.techradar.com