Holly Star
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 4,373
- 8,283
Bro Luna watu akili zao zipo mkunduni, yaan wanaongea bila nafikiri kama muamba vile
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hujui historia ya magonjwa kuwahi kutokea duniani bora ukae kimya, hao wamarekani wenyewe 2009 walikufa kama kuku zaidi ya watu 12,000 virusi vya H1N1(Swine flu), kufikia October 24, 2009 OBAMA declared national emergency..tema mate kabla ya kushabikia ujinga
Kwa kukusaidia tu mwaka 1918 hadi 1920 Spanish flu ulichukua uhai wa watu zaidi ya milioni 40 duniani. Hiyo ndo Swine flu iliyojitokeza Mexico na baadae USA Mwaka 2009 na kuchukua uhai wa watu zaidi ya kumi na mbili elfu.
NB: Fanya udadisi kabla ya kuropoka.
Kwani wachina walimpa bure hiyo simu. That's the bussiness he paid to get it.
China ni Coward acha wafe. Wakifika hata Milion 1 itakuwa poa Sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe na waliokupa likes nyote mna matatizo. Kwanza hujui kuandika then uliongea mataputapu. Hoja zako zimekaa kama zimetolewa kilabuni wala hata hazina mashiko. Mkijijua hamkujaaliwa uwezo sana kiakili masuala ya kimataifa na siasa muwe mnayaacha. Changia mambo ya Biko, ligi, singeli, etc.Bora kabisa China ianguke kabisa kiuchumi..
China ndiye muuaji mkubwa wa democracy Africa, ndiye mfadhiri mkuu marais wa dizaini ya akina mabotu wa Tanzania.
Bila China TL asingelipigwa Risali za kuuliza tembo.
*Fake you Chine*... MAMAEEEEEEE
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah adi state washakumbwaga na izo mambo!!, wengine tulikuwa machali ata atuelewei..Kama hujui historia ya magonjwa kuwahi kutokea duniani bora ukae kimya, hao wamarekani wenyewe 2009 walikufa kama kuku zaidi ya watu 12,000 virusi vya H1N1(Swine flu), kufikia October 24, 2009 OBAMA declared national emergency..tema mate kabla ya kushabikia ujinga
Kwa kukusaidia tu mwaka 1918 hadi 1920 Spanish flu ulichukua uhai wa watu zaidi ya milioni 40 duniani. Hiyo ndo Swine flu iliyojitokeza Mexico na baadae USA Mwaka 2009 na kuchukua uhai wa watu zaidi ya kumi na mbili elfu.
NB: Fanya udadisi kabla ya kuropoka.
sikiliza DADA yangu, Nadhani content ya comment yangu ujaielewa.Wewe na waliokupa likes nyote mna matatizo. Kwanza hujui kuandika then uliongea mataputapu. Hoja zako zimekaa kama zimetolewa kilabuni wala hata hazina mashiko. Mkijijua hamkujaaliwa uwezo sana kiakili masuala ya kimataifa na siasa muwe mnayaacha. Changia mambo ya Biko, ligi, singeli, etc.
typing error sio kutofahamu kuandika.Wewe na waliokupa likes nyote mna matatizo. Kwanza hujui kuandika then uliongea mataputapu. Hoja zako zimekaa kama zimetolewa kilabuni wala hata hazina mashiko. Mkijijua hamkujaaliwa uwezo sana kiakili masuala ya kimataifa na siasa muwe mnayaacha. Changia mambo ya Biko, ligi, singeli, etc.
😂 😂 😂 😂 😂 😂Kama hali ikiendelea hivi tutegemee team tecno & itel ambao ndio asilimia kubwa humu jf wakitoweka kabisa katika ramani za jf
Nipinge kwa hoja utaelewa? Wewe unajiona umeandika hoja na si maneno matupu sio? Kwamba uliyoandika pale ni hoja zenye mashiko. Sasa sina haja ya kubishana na wewe kama akili zako zilikutuma uandike vile na bado unaona ulikuwa sahihi. Huwezi elewa.sikiliza DADA yangu, Nadhani content ya comment yangu ujaielewa.
alafu punguza mihemko, uko too emotionally sana. unajadili hadi LIKE?.
ebu eleza unapiga nini katika comment yangu, unapata wapi uhalali wa Kupinga wazo la mtu kwa maneno MATUPU?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hujui historia ya magonjwa kuwahi kutokea duniani bora ukae kimya, hao wamarekani wenyewe 2009 walikufa kama kuku zaidi ya watu 12,000 virusi vya H1N1(Swine flu), kufikia October 24, 2009 OBAMA declared national emergency..tema mate kabla ya kushabikia ujinga
Kwa kukusaidia tu mwaka 1918 hadi 1920 Spanish flu ulichukua uhai wa watu zaidi ya milioni 40 duniani. Hiyo ndo Swine flu iliyojitokeza Mexico na baadae USA Mwaka 2009 na kuchukua uhai wa watu zaidi ya kumi na mbili elfu.
NB: Fanya udadisi kabla ya kuropoka.
Wapi huyo anajua yupokijiwe cha kahawa anadanganya watu.Dah adi state washakumbwaga na izo mambo!!, wengine tulikuwa machali ata atuelewei..
Sent using Jamii Forums mobile app
nikikuita muongo na msingiziaji utakataa? ni wapi nimekutaka ujibu hoja?,.Nipinge kwa hoja utaelewa? Wewe unajiona umeandika hoja na si maneno matupu sio? Kwamba uliyoandika pale ni hoja zenye mashiko. Sasa sina haja ya kubishana na wewe kama akili zako zilikutuma uandike vile na bado unaona ulikuwa sahihi. Huwezi elewa.
Hicho kichwa kweli kigumu hata kufuatilia kidogo tu imekushinda? nina wasiwasi na umri wako pengine ulikua DRS 4 au kama ni mtu mzima jitafakari kidogo pitia hapa kwanza "2009 flu pandemic - Wikipedia" kwa hulka yako najua utakua mvivu kusoma na kuelewa.Hao.wa marekani au kuku zako waliokufa 12000 ebu kawadanganye watoto wako huko. Wamarekani wafe 12000 afu taarifa uwe nazo peke yako.
Redblue ndiyo nini!!???Fanya kile moyo wako umekusudia.
Nb:
now nipo somewhere nagonga cha baridiiii, kuna Baharia kajikwa kwa bahati mbaya kwenye mguu wangu, akaanza kuniporomoshea matusi, mi nimeuchuna tu, then akanyamaza, ghafra nikampiga mzinga mkubwa wa konyagi, akabaki aamini amini kwa matusi aliyonimwagia,nimewambia waitress ampe Redblue apozee mzinga.
mi matusi uwa nayachukulia kama mashahiri ya mtu mwenye...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata ku google basi huwez [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hao.wa marekani au kuku zako waliokufa 12000 ebu kawadanganye watoto wako huko. Wamarekani wafe 12000 afu taarifa uwe nazo peke yako.