• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Tuiombee China lasivyo uchumi wetu utayumba

LICHADI

LICHADI

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Messages
3,228
Points
2,000
LICHADI

LICHADI

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2015
3,228 2,000
Kwa mujibu wa Millard Ayo:

Idadi ya waliofariki kutokana na Virusi vya Corona China imeongezeka na kufikia Watu 2004, uwezekano wa vifo kuongezeka ni mkubwa, walioathirika na virusi hivyo mpaka sasa ni 74,185 hii ni kwa China pekee, wagonjwa 11,977 wako mahututi, wagonjwa waliotibiwa Hospitali na kuruhusiwa wameongezeka na kufikia 14,376.

Habari zilizothibitishwa pia ni kuwa biashara nyingi na viwanda vingi vimefungwa nchini china, uzalishaji wa bidhaa nyingi umesimama kwa ajili ya kuzuia kuenea kwa huu ugonjwa, China imeanza kuanguka kiuchumi kwa mujibu wa ripoti zao wao wenyewe

Bidhaa nyingi Tanzania na wafanyabiashara wengi wa Tanzania wanategemea soko la China kununua bidhaa zao sababu ni bei nafuu, china ikiendelea kuathirika tutegemee hata hapa nchini biashara nyingi zinaweza kuathirika au kufa sababu ya kukosa bidhaa zinazotoka China

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mbalaka

mbalaka

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2017
Messages
1,534
Points
2,000
mbalaka

mbalaka

JF-Expert Member
Joined Oct 7, 2017
1,534 2,000
Bora kabisa China ianguke kabisa kiuchumi..
China ndiye muuaji mkubwa wa democracy Africa, ndiye mfadhiri mkuu marais wa dizaini ya akina mabotu wa Tanzania.
Bila China TL asingelipigwa Risali za kuuliza tembo.

*Fake you Chine*... MAMAEEEEEEE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
google helper

google helper

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2013
Messages
7,308
Points
2,000
google helper

google helper

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2013
7,308 2,000
kwa mujibu wa millard ayo

Idadi ya waliofariki kutokana na virusi vya corona China imeongezeka na kufikia Watu 2004, uwezekano wa vifo kuongezeka ni mkubwa, walioathirika na virusi hivyo mpaka sasa ni 74,185 hii ni kwa China pekee, wagonjwa 11,977 wako mahututi, wagonjwa waliotibiwa Hospitali na kuruhusiwa wameongezeka na kufikia 14,376
#MillardAyoUPDATES

Habari zilizothibitishwa pia ni kuwa biashara nyingi na viwanda vingi vimefungwa nchini china, uzalishaji wa bidhaa nyingi umesimama kwa ajili ya kuzuia kuenea kwa huu ugonjwa, china imeanza kuanguka kiuchumi kwa mujibu wa ripoti zao wao wenyewe

Bidhaa nyingi Tanzania na wafanya biashara wengi wa Tanzania wanategemea soko la china kununua bidhaa zao sababu ni bei nafuu, china ikiendelea kuathirika tutegemee hata hapa nchini biashara nyingi zinaweza kuathirika au kufa sababu ya kukosa bidhaa zinazotoka chinaSent using Jamii Forums mobile app
wauza simu wenyewe wameshaanza kuyaona mambo yakiwaendea kombo, hali si shwari kabisa
 
google helper

google helper

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2013
Messages
7,308
Points
2,000
google helper

google helper

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2013
7,308 2,000
naamini hali itatengamaa tu japo itatusumbua hata sisi kwa sehemu kubwa sana
 
Nktlogistics

Nktlogistics

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Messages
1,768
Points
2,000
Nktlogistics

Nktlogistics

JF-Expert Member
Joined Oct 22, 2015
1,768 2,000
....Majirani zetu wanatuchora alafu wanasema hiiiiiiiiiiii.
 
Proved

Proved

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2018
Messages
7,414
Points
2,000
Proved

Proved

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2018
7,414 2,000
Bora kabisa China ianguke kabisa kiuchumi..
China ndiye muuaji mkubwa wa democracy Africa, ndiye mfadhiri mkuu marais wa dizaini ya akina mabotu wa Tanzania.
Bila China TL asingelipigwa Risali za kuuliza tembo.

*Fake you Chine*... MAMAEEEEEEE

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh!...
 
Mlaleo

Mlaleo

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2011
Messages
11,183
Points
2,000
Mlaleo

Mlaleo

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2011
11,183 2,000
Waisrael washawaombea Yatosha... Nyie wenye Dhambi tulieni mshapata Wokovu.

Rabbis call for mass Western Wall prayer for coronavirus patients
‘The job of the Jewish people is to pray for the good of the entire world,’ says Safed chief rabbi, as overall death toll from China’s epidemic jumps to 1,665
By TOI STAFF and AGENCIES16 February 2020, 12:52 pm 4
Tens of thousands pray for forgivness (Selichot), at the Western Wall in the Old City of Jerusalem on early on September 27, 2019. (Mendy Hechtman/Flash90)
Tens of thousands pray for forgivness (Selichot), at the Western Wall in the Old City of Jerusalem on early on September 27, 2019. (Mendy Hechtman/Flash90)
Prominent national-religious rabbi Shmuel Eliyahu has called for Israelis to join him at the Western Wall on Sunday afternoon for a mass prayer rally on behalf of those infected with the coronavirus.
Eliyahu, the head of the Community Rabbinical Association and chief rabbi of Safed, is organizing the gathering together with the Israeli branch of the Orthodox Union, an American Modern Orthodox synagogue network.
 
A

abdulhamis

Senior Member
Joined
Aug 2, 2019
Messages
199
Points
250
A

abdulhamis

Senior Member
Joined Aug 2, 2019
199 250
kwa mujibu wa millard ayo

Idadi ya waliofariki kutokana na virusi vya corona China imeongezeka na kufikia Watu 2004, uwezekano wa vifo kuongezeka ni mkubwa, walioathirika na virusi hivyo mpaka sasa ni 74,185 hii ni kwa China pekee, wagonjwa 11,977 wako mahututi, wagonjwa waliotibiwa Hospitali na kuruhusiwa wameongezeka na kufikia 14,376
#MillardAyoUPDATES

Habari zilizothibitishwa pia ni kuwa biashara nyingi na viwanda vingi vimefungwa nchini china, uzalishaji wa bidhaa nyingi umesimama kwa ajili ya kuzuia kuenea kwa huu ugonjwa, china imeanza kuanguka kiuchumi kwa mujibu wa ripoti zao wao wenyewe

Bidhaa nyingi Tanzania na wafanya biashara wengi wa Tanzania wanategemea soko la china kununua bidhaa zao sababu ni bei nafuu, china ikiendelea kuathirika tutegemee hata hapa nchini biashara nyingi zinaweza kuathirika au kufa sababu ya kukosa bidhaa zinazotoka chinaSent using Jamii Forums mobile app
Utayumba wapi wakat serekal yetu yenyewe pesa kwanza afya ZETU baadae mana nasikia Kuna wachina wapo wanakuja tz et kutalii wachina Zaid ya Mia 30 na tanzania itaingiza 2bilion sijui hivi jaman urus imeziwia wachina wasiingie kwao kuanzia kesho sis ni Nan ambao hatuna hofu na gonjwa hili hiv viongozi wetu wanafikiria hili kwel ivi korona ikija tz unafikir Kuna atakae bakia hata mmoja mungu wafungue macho viongozi wetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dalmine

Dalmine

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2016
Messages
3,962
Points
2,000
Dalmine

Dalmine

JF-Expert Member
Joined Sep 8, 2016
3,962 2,000
kwa mujibu wa millard ayo

Idadi ya waliofariki kutokana na virusi vya corona China imeongezeka na kufikia Watu 2004, uwezekano wa vifo kuongezeka ni mkubwa, walioathirika na virusi hivyo mpaka sasa ni 74,185 hii ni kwa China pekee, wagonjwa 11,977 wako mahututi, wagonjwa waliotibiwa Hospitali na kuruhusiwa wameongezeka na kufikia 14,376
#MillardAyoUPDATES

Habari zilizothibitishwa pia ni kuwa biashara nyingi na viwanda vingi vimefungwa nchini china, uzalishaji wa bidhaa nyingi umesimama kwa ajili ya kuzuia kuenea kwa huu ugonjwa, china imeanza kuanguka kiuchumi kwa mujibu wa ripoti zao wao wenyewe

Bidhaa nyingi Tanzania na wafanya biashara wengi wa Tanzania wanategemea soko la china kununua bidhaa zao sababu ni bei nafuu, china ikiendelea kuathirika tutegemee hata hapa nchini biashara nyingi zinaweza kuathirika au kufa sababu ya kukosa bidhaa zinazotoka chinaSent using Jamii Forums mobile app
Kama sio 70% basi 100% ya wananchi wa tanzania wanategemea bidhaa zao pamoja na Japan. Wanaotumia bidhaa za mabeberu ni wachache sana

In short tutaumia sana,,,Mungu awaondolee na awaponye wote walioathirika
 
Dalmine

Dalmine

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2016
Messages
3,962
Points
2,000
Dalmine

Dalmine

JF-Expert Member
Joined Sep 8, 2016
3,962 2,000
Bora kabisa China ianguke kabisa kiuchumi..
China ndiye muuaji mkubwa wa democracy Africa, ndiye mfadhiri mkuu marais wa dizaini ya akina mabotu wa Tanzania.
Bila China TL asingelipigwa Risali za kuuliza tembo.

*Fake you Chine*... MAMAEEEEEEE

Sent using Jamii Forums mobile app

Ni Chuki na roho mbaya zinakusumbua kijana,,,au nimekosea?? Lau wangelikuwa mabeberu wanaokutambua SOKWE wamepata janga hilo usingethubutu kuongea huo ujinga,,,

"Bila China TL asingelipigwa Risali za kuuliza tembo." 😂😂😂 waswahili tunapenda sana kutumia huu msemo baada ya tukio "ingelikuwa, Tungelikuwa, wangelikuwa, angelikuwa" aisee 😂😂😂
 
Azoge Ze Blind Baga

Azoge Ze Blind Baga

Member
Joined
Mar 8, 2019
Messages
91
Points
150
Azoge Ze Blind Baga

Azoge Ze Blind Baga

Member
Joined Mar 8, 2019
91 150
Usicheze na Mmarekani,naona mimacho Kabudi na jiwe wake wanavyowaponda Mabeberu ,wajiangalie wasije wakatuletea kirusi kingine, huu UKIMWI tu ni balaa kwetu je wakileta vingine,Wee jiwe na profesa wako majalala kabudi mmeshindwa kuongoza Nchi na kuleta democracy kaeni pembeni hao mabwana zenu China washapigwa pigo takatifu na mabeberu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Elungata

Elungata

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Messages
33,964
Points
2,000
Elungata

Elungata

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2011
33,964 2,000
Idadi itakapofika 10,000,,then itakuwa imeshathibitika wameshindwa ku ucontrol,,,run for the hills then
 
Holly Star

Holly Star

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2018
Messages
1,367
Points
2,000
Holly Star

Holly Star

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2018
1,367 2,000
Bro sijui nikutukane this gani ili moyo wangu utulie
Bora kabisa China ianguke kabisa kiuchumi..
China ndiye muuaji mkubwa wa democracy Africa, ndiye mfadhiri mkuu marais wa dizaini ya akina mabotu wa Tanzania.
Bila China TL asingelipigwa Risali za kuuliza tembo.

*Fake you Chine*... MAMAEEEEEEE

Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
 
mbalaka

mbalaka

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2017
Messages
1,534
Points
2,000
mbalaka

mbalaka

JF-Expert Member
Joined Oct 7, 2017
1,534 2,000
Ni Chuki na roho mbaya zinakusumbua kijana,,,au nimekosea?? Lau wangelikuwa mabeberu wanaokutambua SOKWE wamepata janga hilo usingethubutu kuongea huo ujinga,,,

"Bila China TL asingelipigwa Risali za kuuliza tembo." waswahili tunapenda sana kutumia huu msemo baada ya tukio "ingelikuwa, Tungelikuwa, wangelikuwa, angelikuwa" aisee
Mkuu kama neno SOKWE linakupa kichefu chefu, leo hii usingelikuwa Religion fanatic, ungelikuwa mtu dizaini ya Kiranga.
nasema hivyo kwasababu aliyekuletea dini Katumia maneno makali zaidi dhidi ya mtu mweusi kuliko huyo anae kuita nyani.
ubaguzi huo sio kwamba hauoni, unauona ila ili kujifariji umeutungia tafsiri tamu ili ufit kwenye mindset yako.
Nb:
ubaguzi ni asili ya mwanadamu.
hata mimi na wewe pia ni wabaguzi.
kuna kabila fulani ngozi nyeusi tii ila waliwabagua wenzao kwa kuwaita Mende.Sent using Jamii Forums mobile app
 
Godlizo

Godlizo

Member
Joined
Jan 9, 2013
Messages
44
Points
125
Godlizo

Godlizo

Member
Joined Jan 9, 2013
44 125
Usicheze na Mmarekani,naona mimacho Kabudi na jiwe wake wanavyowaponda Mabeberu ,wajiangalie wasije wakatuletea kirusi kingine, huu UKIMWI tu ni balaa kwetu je wakileta vingine,Wee jiwe na profesa wako majalala kabudi mmeshindwa kuongoza Nchi na kuleta democracy kaeni pembeni hao mabwana zenu China washapigwa pigo takatifu na mabeberu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hujui historia ya magonjwa kuwahi kutokea duniani bora ukae kimya, hao wamarekani wenyewe 2009 walikufa kama kuku zaidi ya watu 12,000 virusi vya H1N1(Swine flu), kufikia October 24, 2009 OBAMA declared national emergency..tema mate kabla ya kushabikia ujinga

Kwa kukusaidia tu mwaka 1918 hadi 1920 Spanish flu ulichukua uhai wa watu zaidi ya milioni 40 duniani. Hiyo ndo Swine flu iliyojitokeza Mexico na baadae USA Mwaka 2009 na kuchukua uhai wa watu zaidi ya kumi na mbili elfu.

NB: Fanya udadisi kabla ya kuropoka.
 
Forum statistics

Threads 1,406,597
Members 532,389
Posts 34,520,598
Top