Recent content by Godfrey Peter Marusu

  1. G

    Msaada: Namna nzuri ya kutunza siri

    Namba 2 ni bonge la ushauri. UKIONA KUNA WATU WANAKUKERA UJUE NA WAO UNAWAKERA SEMA WANAKUVUMILIA NA WEWE KUWA MVUMILIVU SI LAZIMA UONGEE.
  2. G

    Mfumo wa udahili wa mwaka huu; kuna vyuo vitakosa wanafunzi kwa ujinga

    Unajua kuna vijana wanataka kujifanya wanajua mambo ya vyuo wakati wana elimu ya secondary.
  3. G

    Kwanini Spika Ndugai amezikalia Mil 43 zilizochangwa na wabunge kwa ajili ya Lissu ?

    Kumbe ni hela ya serikali mimi nilidhani ni michango ya wabunge! !!
  4. G

    Wanaume mnaopenda Mpira

    Kuangalia mpira ukiwa nyumbani ni sawa na kununua Nyama halafu ukaenda kuchoma mshikaki nyumbani. Hahahaaaaaa Sent using Jamii Forums mobile app
  5. G

    Tuseme kweli, kwa maswali yale usaili TRA hata Kamishina hachomoki

    Hukomolewi bro endelea kuhudhuria kwenye interviews lkn kwa maswali km yale kama huna msingi wa kuwa current utapoteza muda. Hata hicho kilimo kinahitaji elimu. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. G

    Tuseme kweli, kwa maswali yale usaili TRA hata Kamishina hachomoki

    Wanalalamika sana wakitaka huruma ya watu, wakiona mabandiko marefu hawataki kuyasoma wanadai yanaboa. Wanasikiliza na kuangalia intertainment programmes na serious wanaona ni za wazee. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. G

    Tuseme kweli, kwa maswali yale usaili TRA hata Kamishina hachomoki

    General quiz blazaaaaa mara huwa yanahusu current affairs. Be current to either local, national or internationally. Hahahaaaaaa Sent using Jamii Forums mobile app
  8. G

    Daktari: Singh Sethi amewekewa puto tumboni, asipopelekwa hospitali atapoteza maisha

    Madakitari wengine hawaruhusiwi kuwapima ili kujiridhisha na report hizi? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. G

    Daktari: Singh Sethi amewekewa puto tumboni, asipopelekwa hospitali atapoteza maisha

    ABRAHAM LINCOLN,HAHAHAAAAAA Sent using Jamii Forums mobile app
  10. G

    Hili ni jaribio la 3 la Clouds FM kumshusha Diamond, naamini utashinda tu

    Amuulize mwana FA kilichomkuta baada ya kuanzisha ligi na malkia JD. HAHAHAAAAAA Sent using Jamii Forums mobile app
  11. G

    Nafasi za kazi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM)

    Kuna watu humu!!! Hahahaaaaaa Sent using Jamii Forums mobile app
  12. G

    VINAUZWA:SAMSUNG SMART TV,FRIDGE NA AC

    Mazungumzo yapo? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. G

    Official: Wimbo mpya ya Roma Mkatoliki - Zimbabwe

    Wimbo wa Roma sio mziki wa Roma hata hivyo mziki =muziki. Tuendelee. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom