Namba 2 ni bonge la ushauri.Mimi pia kuna kipindi nilikua talkative sana, yaani nilikua siwezi kukaa kimya muda mrefu, tema hasa ukikuta nimekusanya kikundi nadraw attention naweza simulia story mpaka wakasahau wanachotakiwa kufanya, ila hii mbaya pale watu watakapokuhoji vitu vinavyokuhusu, niliapply njia zifuatazo kuondoa hilo tatizo;
1.kutokuwa msemaji wa tukio fulani
2.kutokuonesha kila mtu msimamo wangu juu ya jambo fulani
3.kuwa " a man in mission" yaani nikienda mahali nakuwa niko specific kwa kile nilichofuata.
4.nikikuta wanacheka na mimi nacheka bila kuchangia wakisikiliza na mimi nasikiliza tu
Nashkuru Mkuu wewe upo PERFECTHapana nilichoona una poor ideology ya recurrence
Nashkuru Mkuu wewe upo PERFECTHapana nilichoona una poor ideology ya recurrence
Ww kuwa mtunza siri ni sawa na mtoto kusema hajadokoa nyama wakati shavu limetuna na mafuta mdomonDah niko hapa mtunza siri, ukiambiwa jambo mezea na jifanye ni lako huwezi kulitoa kwa mtu yeyote
Loud & Clear...Two ears one mouth follow the ratio!Two Ears One Mouth........
Umenipa bonge la somoMimi pia kuna kipindi nilikua talkative sana, yaani nilikua siwezi kukaa kimya muda mrefu, tema hasa ukikuta nimekusanya kikundi nadraw attention naweza simulia story mpaka wakasahau wanachotakiwa kufanya, ila hii mbaya pale watu watakapokuhoji vitu vinavyokuhusu, niliapply njia zifuatazo kuondoa hilo tatizo;