Ni kwamba kinachosumbu ni ubnafsi tu Dr ni mbinafsi, kilichomtoa kwenye upadri ilikuwa nini?. mbona amuhulizi? kimantiki Dr si mtiifu kwa aliejuu yake, mwenyekiti anamaamuzi, katibu ni mtekelezaji, kinachompa shida ni yeye kukosa nafasi ya kuwakirisha chama kama mgombea Uraisi Lowasa anauwezo...