Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,116
- 8,658
Kwanza napenda kukiri kwamba mchakato wa kumpata mtu wa kupeperusha bendera ya CCM kwa nafasi ya urais ilikiukwa waziwazi pale Dodoma.Tunajua Lowassa unamengi moyoni ya kuzungumza lkn uyazungumze hayo kupitia kwenye vikao vyetu kama katiba ya chama ilivyo.
Hatujakufukuza ktk chama tunaamini wewe unaijua vizuri sana CCM kuliko sisi,achana na uamuzi wa kuhama CCM kwani wewe bado nilulu ndani ya chama hiki na bado unavitajika sana kuliko wkt mwingine,ualuzi wa kuhama chama utaiathiri CCM kwa upande mmoja lkn nibaya zaidi utajivunjia heshima ndani ya jamii.
TUPO PAMOJA LOWASSA
Sawa Koffi Annan wa Tanzania