GODFREY GIITI
Member
- Mar 15, 2015
- 33
- 3
Haiwezekani kosa la barabarani ni rahisi kuandikiwa notification kuliko kupewa risiti ya malipo ambayo ndio inayopeleka pesa hazina, ukitaka kujua hilo fanya kosa barabarani uombe risiti utaona mzunguko utakavyokuwa mkubwa mpaka utakata tamaa
Kwanini serikali inalazimisha mfanyabiashara kutoa risiti lakini polisi wa usalama barabarani ukimuomba risiti ni ugomvi?
Kwanini serikali inalazimisha mfanyabiashara kutoa risiti lakini polisi wa usalama barabarani ukimuomba risiti ni ugomvi?