GODFREY GIITI
Member
- Mar 15, 2015
- 33
- 3
ukweli uko wazi kuhusu utoaji wa notification kwa makosa ya barabarani ni jipu kwa nini aiendi sambamba na risiti? inathibitisha kuwa vitabu vya notification ndivyo vinavyotumika kuchukulia pesa wakati zipo risiti azitolewi mpaka udai na kuipata mpaka utoke jasho na malanyigi madereva uachana nazo, naukitaka kujua kuwa pesa aziendi zote fanya kosa leo chukua notification kaa siku tatu nenda kituoni utakuta aijaandikwa risiti. serikali inataka mfanya biashara kutoa risiti kwa manunuzi atakayo fanya kwa nini kitengo cha usalama barabarani akibanwi kutoa risiti badala ya notification?