Recent content by Godbless J Lema

  1. G

    Lema: Nawatakia kila la heri madiwani waliohama na kujiunga na CCM

    Ninawatakia kila la kheri Madiwani waliojiunga na CCM leo katika nchi yenye mfumo wa siasa za vyama vingi uamuzi kama huu unaweza kuwa sawa kama utashi wa maamuzi haya ungewezwa kujengwa katika maadili na ukweli. Safari hii ya mageuzi ya kujenga demokrasia ni safari ngumu sana wengi wameamua...
  2. G

    Je, Joseph Mbilinyi (Sugu) anaweza kufungwa?

    Kama kuna wakati tunapaswa kutafakari hatima ya Nchi yetu ni sasa. Tatizo la msingi ambalo tunapita kama Taifa ni uoga , kwa maoni yangu uoga unaweza kuwa ndio dhambi kubwa na mbaya kuliko zote Duniani , hata hivyo kuwa jasiri ni kuwa na nia ya dhati kabisa ya kusimamia haki na kukataa uonevu...
  3. G

    Godbless Lema: Heri ya Christmas Mahabusu na Wafungwa wote

    Heri ya Christmas kwa Mahabusu na Wafungwa wote. Christmas mwaka Jana 2016 nilikuwa nimeshikiliwa kama mahabusu Geraza kuu Arusha kwa kunyimwa dhamana, tukiwa Gerezani tarehe kama hii Mimi na wenzangu tulikuwa tunaandaa sikukuu ya Christmas. Leo ninawakumbuka rafiki zangu wengi niliokaa nao...
  4. G

    Lema: Mh Rais, kwenye Uchaguzi wa Madiwani tumeshuhudia nguvu ya dola, siamini kama ni Tanzania kwa Uchaguzi wa aina hii

    Option ya haki kwa kuanza haipaswi kuwa vita wala machafuko, lakini kuna muda utafika ambapo mioyo itaelekeza
  5. G

    Lema: Mh Rais, kwenye Uchaguzi wa Madiwani tumeshuhudia nguvu ya dola, siamini kama ni Tanzania kwa Uchaguzi wa aina hii

    Mh. Rais nakusalimu. Uchaguzi wa marudio viti vya udiwani umekwisha, tumeshuudia nguvu ya dola kwa dhati kabisa nimeona kila kitu kilichotokea na bado siamini kama ni Tanzania kwa uchaguzi wa aina hii. Mh. Rais, kuibiwa kura ni tofauti na kuporwa ushindi, huku kwetu Arusha huu sio wizi wa...
  6. G

    Lazaro Nyalandu: Inasikitisha Waziri Kigwangalla kunichafua, kunidhihaki na kusema uongo ndani ya Bunge dhidi yangu

    INASIKITISHA sana kuona WAZIRI Kigwangalla akitumia MUDA wake ndani ya BUNGE leo kunichafua, kunidhihaki, na kusema UONGO na UZUSHI dhidi yangu, ikiwa ni NJAMA za makusudi zilizopangwa kunichafua mara baada ya mimi kukihama Chama Cha Mapinduzi -CCM. Aidha, hatua hiyo imepangwa kwa lengo la...
  7. G

    Lema: Bonde la uvuli wa mauti - Mkakati umepangwa nikamatwe na Jeshi la Polisi leo, maelekezo yameshatolewa

    Siwezi kulia na endelea kutaarifu umma kwamba demokrasi inazidi kupita ktk majaribu makubwa
  8. G

    Lema: Bonde la uvuli wa mauti - Mkakati umepangwa nikamatwe na Jeshi la Polisi leo, maelekezo yameshatolewa

    Nimepata taarifa kwamba ninatafutwa na Jeshi la Polisi Arusha kwa maelekezo kutoka juu. Ninaelezwa kuwa mipango mingi inapangwa juu ya uchaguzi wa marudio hapa Arusha , tunatarajia kuwa na wakati mgumu sana ktk kampeni hizi, na hivi sasa tunaanza kushuudia mateso ya aina mbali mbali. Watesi...
  9. G

    ARUSHA: Meya, wamiliki wa shule, paroko na Waandishi, wakamatwa na Polisi Shuleni, wanyimwa dhamana

    Mstahiki Mayor wa Jiji , Paroko , Mchungaji , Waandishi wa habari 7 , wamekamatwa leo na Jeshi la Polisi wakiwa Shuleni Lucky Vicent ambako Mayor alialikwa na Umoja wa Shule binafsi Tanzania , waliopenda kutoa rambi rambi moja kwa moja kwa wafiwa badala ya kupitia ofisi ya Mkuu wa Mkoa . Wazazi...
  10. G

    ARUSHA: Meya, wamiliki wa shule, paroko na Waandishi, wakamatwa na Polisi Shuleni, wanyimwa dhamana

    Mstahiki Mayor wa Jiji , Paroko , Mchungaji , Waandishi wa habari 7 , wamekamatwa leo na Jeshi la Polisi wakiwa Shuleni Lucky Vicent ambako Mayor alialikwa na Umoja wa Shule binafsi Tanzania , waliopenda kutoa rambi rambi moja kwa moja kwa wafiwa badala ya kupitia ofisi ya Mkuu wa Mkoa . Wazazi...
  11. G

    Hotuba ya Msemaji wa Kambi ya Upinzani bungeni katika Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi

    HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI KATIKA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI, MHE. GODBLESS JONATHAN LEMA (MB), AKIWASILISHA BUNGENI MAONI YA KAMBI YA UPINZANI KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA YA WIZARA HIYO, KWA MWAKA WA FEDHA 2017/2018...
  12. G

    Lema: Ubaguzi katika msiba wa kuaga wanafunzi waliofariki katika ajali ni ishara mbaya

    Leo katika msiba wa kuaga Wanafunzi waliofariki ktk ajali . Mimi kama Mbunge mwenyeji niliyefiwa Jimboni kwangu pamoja na Mayor tulihudhuria maombolezo hayo, ilikuwa ni itifaki ya kawaida kabisa kuelewa kuwa Mbunge pamoja na Mayor watapaswa kutoa salamu za rambi rambi au kuwashukuru wageni...
  13. G

    G.Lema: Tulaani sote tukio la Polisi kuuawa

    They always knew they could be They never thought they would be God knows none ever should be Killed in the line of duty Some made their final stand Their profession’s last demand They fell with gun in hand Killed in the line duty
  14. G

    G.Lema: Tulaani sote tukio la Polisi kuuawa

    Pengine ni kwa mara ya kwanza wewe umekuwa positive
  15. G

    G.Lema: Tulaani sote tukio la Polisi kuuawa

    Suala la haki na kweli si la upinzani ni la kila mtu , usiseme fulani atafanya , anza wewe sasa kufanya , unafikiri kulikuwa na busara zaidi ya hii ? Tafadhali nifundishe
Back
Top Bottom