Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,590
- 8,726
Hawa Polisi ni.watoto...wa masikini kama.walivyo watanzania wengi ni muhimu kuwaunga...mkono wanao...wakati mgumu sana
Pengine hawana vitendea.kazi ..na changamoto zingine
Wananchi wa Mkuranga wanatakiwa...kuwapa polisi...ushirikiano nao Polisi wajitahidi kutenda haki kwa wasiohusika hasa kinamama na watoto