Recent content by god with us

  1. god with us

    Uturuki: Wanawake wapigwa marufuku kucheka hadharani

    Au na wana lile likicheko la "EHEHEEEE HALOOOOOOO'kama ni hilo bora wazuiliwe tu
  2. god with us

    Clouds yaipotezea UKAWA

    Wakati unajiuliza ni wangapi hawana pa kutolea dukuduku lao kuhusu UKAWA jiulize pia ni wangapi hawana pa kutolea dukuduku lao kuhusu uchakavhuaji wa maoni ya tume ya Warioba yaliofanywa na CCM
  3. god with us

    Haka katoto katanitoa roho jamani.

    Kha ndan ya mwzi brthday sita !!!! so ndani ya mwaka utakuwa umeudhuria 72 bado ya kwako kweli utatoka roho
  4. god with us

    Uganda yafuta sheria iliyokuwa inapinga ndoa za jinsia moja

    Mahakama ya kikatiba nchini Uganda imefutilia mbali sheria dhidi ya wapenzi wa jinsia moja ambayo ilisababisha mataifa ya magharibi kuinyima msaada. Kadhalika sheria hiyo ilizua gumzo sana sio tu Uganda bali kote duniani ambapo mataifa ya Magharibi yalilazimika kuingilia kati. Mahakama ilisema...
  5. god with us

    Shujaa wangu wa Amani: Sheikh Hilary Kipozeo

    Ana wapenda waliojazia jazia kama GILESI
  6. god with us

    Joka kubwa aina ya chatu lazua taharuki jijini Arusha

    Safi sana #gilesi kwa habari iliyo kamilika
  7. god with us

    Official: Kocha mpya wa Yanga ni Marcio Maximo - Yusuph Manji kathibitisha

    Yaani sijui kama siku wakicheza Bongo movie na yanga kama macximo ataiwakilisha yanga bila shaka ataichezea bongo movie
  8. god with us

    Official: Kocha mpya wa Yanga ni Marcio Maximo - Yusuph Manji kathibitisha

    Habari wana jf nadhani hii sio habar mpya kwenu kwamba aliye kuwa kocha wa timu ya taifa Macio Maximo kuwa sasa ni kocha wa Yanga Kilicho nifanya niandike huu uzi ni kutaka kujua kwanii Bongo movie wameshangilia sana hii taarifa kuliko wana yanga wenyewe??
  9. god with us

    Kila anayenitongoza namwona hafai

    Please mshirikishe Mungu kwenye hili
  10. god with us

    Hivi hawa wanawake wanaona umuhimu wa kuishi?

    Kwa uvaaji huu NO DENGUE
  11. god with us

    Toyota spacio 2001 for sell

    Thubutu nini sasa
  12. god with us

    Toyota spacio 2001 for sell

    Poa ni 9.2 m
  13. god with us

    Toyota spacio 2001 for sell

    If u ar intrested PM ME
  14. god with us

    Naombeni picha!

    Bujibuji
  15. god with us

    Magical Floating

    Jaman mbona ni kitu cha kawaida sana kilicho fanyika happ ni ni bomba lenye asili ya kioo limeingia kweny hilo bombala koki so uwez kuliona na lina rusha maji so maji yanaonekana kama yanatoka kwenye bomba la koki
Back
Top Bottom