Kila anayenitongoza namwona hafai

Kila anayenitongoza namwona hafai

naamini wote mu wazima wa afya.

kama kichwa kinavojieleza hapo juu naombeni ushauri wenu nifanye nini coz kila anayenitongoza namuona hafai hata kama ni mtu mwenye hela zake.

mimi huwa nina tabia ya kuangalia sana tabia ya mtu sasa kila anayenifuata naona hana vigezo na wengi nawaona wananitamani tu.

hii hali inanitesa sana kwamaana najikuta wanaonifuata ni wengi lakini bado upweke unanitesa.

mawazo yako yatakayojenga please.

Utakuwa name spiritual husband Ana wivu na wewe. Usiku anakugegeda weeee kwa raha zake
 
Khaaa hivyo hivyo utakuja kushtuka na kutafuta shuka kumekucha wakati age imeenda unakuja tafuta hata among wale ulikuwa huwataki usipate. Unless otherwise Muumbe mwenyewe huyo mtu unayemtaka wewe.
 
utaishia kutapata KOROMA..........!!!
naamini wote mu wazima wa afya.

kama kichwa kinavojieleza hapo juu naombeni ushauri wenu nifanye nini coz kila anayenitongoza namuona hafai hata kama ni mtu mwenye hela zake.

mimi huwa nina tabia ya kuangalia sana tabia ya mtu sasa kila anayenifuata naona hana vigezo na wengi nawaona wananitamani tu.

hii hali inanitesa sana kwamaana najikuta wanaonifuata ni wengi lakini bado upweke unanitesa.

mawazo yako yatakayojenga please.
 
Bibie kutokana na maelezo yako una Jini mahaba ndişo anayekusumbuwa usipate mchumba na unaweza kukaa hivyo hivyo bila ya kupata mchumba ukawa kila siku unachaguwa wachumba na hukai nao kabisa.

DALILI ZA KUONYESHA UNA JINI MAHABA NI HIZI MOJAWAPO UKIWA NAYO NI TOSHA KABISA SIO LAZIMA UWE NAZO ZOTE:

1.KUNA KUJITAMBUA KUWA UNA MAJINI KWA NJIA MBALIMBALI.KUJITAMBUA KWA NJIA YA NDOTO YA DHAHILI.

2.DALILI ZA DHAHILI.

A.KIZUNGUZUNGU.

B.VITU KUTEMBEA TUMBONI.
C.VICHEZA MWILINI.3
D.KICHWA KUUMA MARA KWA MARA.
E.KUHISI MTU ANATEMBEA NYUMA YAKO.
F.KUPIGA MIHAYO SANA.
G.MACHO KUKOSA AIBU.
H.HASIRA ZA MARA KWA MARA.
I.KUPOTEZA KUMBUKUMBU.
J.UGOMVI WA MARA KWA MARA.
K.MARADHI YA KUJIBADILISHA BADILISHA.
L.KUHISI BARIDI MARA KWA MARA.
M.KUTOJISIKIA KUONGEA HASA WAKATI UNAPOSSEMESHWA NA MTU UNAONA KAMA
ANAKUSUMBUA.
N.MASIKO KUPIGA KELELE.
O. KUHISI VITU VINAONGEA MASIKIONI.
P.KUPOTEZA HELA MARA KWA MARA KWA NJIA YA KUTATANISHA.
Q.KUHARIBIKIWA NA VITU HASA VYA MOTO.
R.MATATIZO YA HEDHI KUFUNGIKA AU KUTOKA KWA WINGI AU KUKOSA KABISA.
S.KUFUNGIKA KWA KIZAZI.
T KUSTUKA STUKA
U.MOYO KUONGOKA SAWA NA MTU MWENYE PRESHA.
V.KUPUNGUKIWA DAMU NA KUKONDA AU KUISHIWA MAJI MWILINI.
W.KUPUNGUKIWA NGUVU ZA KIUME AU ZA KIKE.
X.KUSIKIA UCHUNGU WAKATI WA TENDO LA NDOA AU UNAPOMALIZA.
Y. KUHISI KICHEFUCHEFU UNAPOMALIZA TENDO LA NDOA.
Z.KUHISI MANUKATO AU HARUFU MBAYA.
AA.KUKOSA HAMU YA KULA AU KUBAGUA CHAKULA.
BB.MIMBA KUPOTELEA TUMBONI.
CC. KUHISI WATU WANAKUSEMESHA NA HAUWAONI.
DD.KIFAFA.
EE.KICHAA.
FF.PIA MAJINI HUMSABABISHA MWANAMKE KUWA MKALI WAKATI ANAPOOMBWA
TENDO LA NDOA.

3.DALILI KATIKA NDOTO.
A.NDOTO ZA KUFUKUZWA NA WANYAMA WAKALI.
B.NDOTO ZA KUOTA UNAJIFUNGUA.
C. KUOTA UNAPIGWA.
D.NDOTO ZA KUOGELEA.
E. NDOTO ZA KUPAA.
F.NDOTO ZA KUOTA UMEPANDISHIWA JINI.
G. NDOTO ZA KUOTA UMEOA AU UMEOLEWA.
H.KUOTA UMEVALISHWA PETE AU MKUFU.
I.KUOTA UNAPIGANA.
J.KUOTA UNAPIGA KELELE.
K.KUOTA MOTO MKUBWA.
L. KUOTA UNAZIKA.
M.KUOTA UMEKUFA.
N.KUOTA UNAFUKUA KABULI.
O.KUOTA SHEREHE MARA KWA MARA.
P.KUOTA UNAONGEA NA WATU WALIOKUFA.
Z.KUOTA UNAONA VISUGUU.
AA.KUOTA UNAONA MAFUVU WA WATU.
BB.KUOTA UNAPIGA RAMLI.
CC.KUOTA UNAVAA BANGILI AU SHANGA.
DD.KUOTA WATU WANACHUNGA NG,OMBE.
EE.KUOTA WATU WAMEVAA NGUO NYEUPE..
FF.KUOTA UNAKABIDHIWA MKUKI,FIMBO,MUNDU,MBUZI,KONDOO,NG,OMBE
NA KITAMBAA CHEUPE.
GG.KUOTA VIJUMBA VYA MIZIMU.
HH.KUOTA VIBUYU.
II.KUOTA UNAKUNYWA AU UNANYESHWA DAMU.
KK.KUOTA WATU WAMEVAA KANZU .
HIZI NI DALILI ZA MAJINI KWA NJIA ZA NDOTONI JAPO ZIPO NYINGI ILA NAWATAJIA HIZI HAPA
KWA UFUPI .NA PIA NAMUOMBA MWENYEZI MUNGU AENDELEE KUNIPA FAHAMU ILI NIENDELEE
KUWAELIMISHA NA KUWAFUNDISHA MAMBO MENGI YA KUWATAMBUA MAJINI KWA NJIA ZA
NJOZI PIA KWA NJIA ZA DHAHILI.WATU WENGI WANASUMBUKA NA MASHETANI ,MIZIMU,MAJINI,
MAITI LAKINI HAWAJITAMBUI SASA NAHITAJI KUWAPA ELIMU ILI MUWEZE KUFAIDIKA NAZO.
NA PIA NAWAFUNDISHA DAWA KWA AJILI YA HUDUMA YA KWANZA.ASANTE YENU
ITANISABABISHA KAZI YANGU KUSONGA MBELE HII NI MOJA YA SADAKA.
KWA SASA MAJINI NDIO WANAONGOZA KWA KUWATESA WATU ,NA KUWATIA NUKSI,NAKUWAFILISI ,PIA NA KUVUNJA NDOA ZA WATU.
Ukiwa na tatizo lolote lile unaweza kunitumia baruwa ya pepe email yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com au pia waweza kunitembelea blog yangu kwa kubonyeza hapa.Mzizi Mkavu

Vipi Mkuu HP1 hujambo lakini?

Kweli wewe ni mzizimkavu mbona hapo kila mtu ataguswa mengi mnoooo
 
Last edited by a moderator:
Tatizo jingine unaweza ukawa umekua sana kifikra na kimawazo kila unae kutana nae unaona mbona ana mambo ya kitoto ,au mbona hafikirii future ,mbona mbona zikawa nyingi ni vyema kumwambia Mungu akusaidie mmmh!we are in the same boat
 
Kweli wewe ni mzizimkavu mbona hapo kila mtu ataguswa mengi mnoooo
Bibie Karibu

asilimia 80 ya wanawake wana MaJini Mahaba ndio maana wengi wao wanakuwa kwenye ndoa hawadumu. Hawapati

watoto na hawaolewi kuna Mwanamke gani asiyependa kuolewa katika hii dunia? Au Kuna Mwanamme asiyependa kuwa

na mke? ukiona Mwanamme hapendi kuwa na mke ujuwe huyo Mwanamme ana jini mahaba wa kike .Au ukiona Mwanamke

hapendi kuwa na Mume au mpenzi basi ujuwe huyo Mwanamke ana jini mahaba Mwanamme ndio hivyo ilivyo.Mwenyeezi

Mungu hajafanya makosa kumuumba Binadamu Mwanamke na Mwanamme bibie Filomena
 
Last edited by a moderator:
Ww endelea kuchagua tu na kuwakataa dada ipo sku utajua uzur kumbe unamwisho.

Hapo itafika kipindi wataanza kukuona unanyodo na wataanza kukukwepa. Sasa hapo ndipo utakapozisoma plate namba .

Umri umezidi kwenda na hawakutongoz tena kila atakayekuwa anakuja atakuwa anagonga na kusepa.

Acha kuchagua usifikir ww unavyofuatwa kuwa ndio mzur kuliko waote.

Kama unafikir tunakudanganya nenda kakae na mama yako atakupa darasa.

Hakuna binadam aliyekuwa kamili kwa kila sifa unazotaka.

Kuna wenzako walikuwa na nyodo kama zako za kusema hawana sifa. Lakin sasa amegonga miaka 33 hakuna hata mwanaume wa kumtaka kumuoa sasa anahaha kusaka yeyote aliye tayar huku umri wa kuzaa nao unamtupa mkono. Kila akitongozwa anataka harusi iwe wiki ijayo amechanganyikiwa.
Sasa hayo ndiyo unayasubir
Umempa tiba mkuu akimeza aktema shauri yake!UKWELI MTUPU SUBIRI SIKU YA KUKUBALI MIMBA ALAFU JAMAA LITASEPA NDO ATASHKA ADABU!
 
unapofuatwa huwa unaangalia nini ndio umkubali mwanaume
 
Bibie kutokana na maelezo yako una Jini mahaba ndişo anayekusumbuwa usipate mchumba na unaweza kukaa hivyo hivyo bila ya kupata mchumba ukawa kila siku unachaguwa wachumba na hukai nao kabisa.

DALILI ZA KUONYESHA UNA JINI MAHABA NI HIZI MOJAWAPO UKIWA NAYO NI TOSHA KABISA SIO LAZIMA UWE NAZO ZOTE:

1.KUNA KUJITAMBUA KUWA UNA MAJINI KWA NJIA MBALIMBALI.KUJITAMBUA KWA NJIA YA NDOTO YA DHAHILI.

2.DALILI ZA DHAHILI.

A.KIZUNGUZUNGU.

B.VITU KUTEMBEA TUMBONI.
C.VICHEZA MWILINI.3
D.KICHWA KUUMA MARA KWA MARA.
E.KUHISI MTU ANATEMBEA NYUMA YAKO.
F.KUPIGA MIHAYO SANA.
G.MACHO KUKOSA AIBU.

H.HASIRA ZA MARA KWA MARA.
I.KUPOTEZA KUMBUKUMBU.
J.UGOMVI WA MARA KWA MARA.
K.MARADHI YA KUJIBADILISHA BADILISHA.
L.KUHISI BARIDI MARA KWA MARA.
M.KUTOJISIKIA KUONGEA HASA WAKATI UNAPOSSEMESHWA NA MTU UNAONA KAMA
ANAKUSUMBUA.
N.MASIKO KUPIGA KELELE.
O. KUHISI VITU VINAONGEA MASIKIONI.
P.KUPOTEZA HELA MARA KWA MARA KWA NJIA YA KUTATANISHA.
Q.KUHARIBIKIWA NA VITU HASA VYA MOTO.
R.MATATIZO YA HEDHI KUFUNGIKA AU KUTOKA KWA WINGI AU KUKOSA KABISA.
S.KUFUNGIKA KWA KIZAZI.
T KUSTUKA STUKA
U.MOYO KUONGOKA SAWA NA MTU MWENYE PRESHA.

V.KUPUNGUKIWA DAMU NA KUKONDA AU KUISHIWA MAJI MWILINI.
W.KUPUNGUKIWA NGUVU ZA KIUME AU ZA KIKE.
X.KUSIKIA UCHUNGU WAKATI WA TENDO LA NDOA AU UNAPOMALIZA.
Y. KUHISI KICHEFUCHEFU UNAPOMALIZA TENDO LA NDOA.
Z.KUHISI MANUKATO AU HARUFU MBAYA.
AA.KUKOSA HAMU YA KULA AU KUBAGUA CHAKULA.
BB.MIMBA KUPOTELEA TUMBONI.
CC. KUHISI WATU WANAKUSEMESHA NA HAUWAONI.
DD.KIFAFA.
EE.KICHAA.
FF.PIA MAJINI HUMSABABISHA MWANAMKE KUWA MKALI WAKATI ANAPOOMBWA
TENDO LA NDOA.

3.DALILI KATIKA NDOTO.
A.NDOTO ZA KUFUKUZWA NA WANYAMA WAKALI.
B.NDOTO ZA KUOTA UNAJIFUNGUA.
C. KUOTA UNAPIGWA.
D.NDOTO ZA KUOGELEA.
E. NDOTO ZA KUPAA.

F.NDOTO ZA KUOTA UMEPANDISHIWA JINI.
G. NDOTO ZA KUOTA UMEOA AU UMEOLEWA.
H.KUOTA UMEVALISHWA PETE AU MKUFU.

I.KUOTA UNAPIGANA.
J.KUOTA UNAPIGA KELELE.
K.KUOTA MOTO MKUBWA.
L. KUOTA UNAZIKA.
M.KUOTA UMEKUFA.
N.KUOTA UNAFUKUA KABULI.
O.KUOTA SHEREHE MARA KWA MARA.
P.KUOTA UNAONGEA NA WATU WALIOKUFA.
Z.KUOTA UNAONA VISUGUU.
AA.KUOTA UNAONA MAFUVU WA WATU.
BB.KUOTA UNAPIGA RAMLI.
CC.KUOTA UNAVAA BANGILI AU SHANGA.
DD.KUOTA WATU WANACHUNGA NG,OMBE.
EE.KUOTA WATU WAMEVAA NGUO NYEUPE..
FF.KUOTA UNAKABIDHIWA MKUKI,FIMBO,MUNDU,MBUZI,KONDOO,NG,OMBE
NA KITAMBAA CHEUPE.
GG.KUOTA VIJUMBA VYA MIZIMU.
HH.KUOTA VIBUYU.
II.KUOTA UNAKUNYWA AU UNANYESHWA DAMU.
KK.KUOTA WATU WAMEVAA KANZU .
HIZI NI DALILI ZA MAJINI KWA NJIA ZA NDOTONI JAPO ZIPO NYINGI ILA NAWATAJIA HIZI HAPA
KWA UFUPI .NA PIA NAMUOMBA MWENYEZI MUNGU AENDELEE KUNIPA FAHAMU ILI NIENDELEE
KUWAELIMISHA NA KUWAFUNDISHA MAMBO MENGI YA KUWATAMBUA MAJINI KWA NJIA ZA
NJOZI PIA KWA NJIA ZA DHAHILI.WATU WENGI WANASUMBUKA NA MASHETANI ,MIZIMU,MAJINI,
MAITI LAKINI HAWAJITAMBUI SASA NAHITAJI KUWAPA ELIMU ILI MUWEZE KUFAIDIKA NAZO.
NA PIA NAWAFUNDISHA DAWA KWA AJILI YA HUDUMA YA KWANZA.ASANTE YENU
ITANISABABISHA KAZI YANGU KUSONGA MBELE HII NI MOJA YA SADAKA.
KWA SASA MAJINI NDIO WANAONGOZA KWA KUWATESA WATU ,NA KUWATIA NUKSI,NAKUWAFILISI ,PIA NA KUVUNJA NDOA ZA WATU.
Ukiwa na tatizo lolote lile unaweza kunitumia baruwa ya pepe email yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com au pia waweza kunitembelea blog yangu kwa kubonyeza hapa.Mzizi Mkavu

Vipi Mkuu HP1 hujambo lakini?

Hizo kwenye RED na BLUE NI dalili ambazo ninazo lakini kila ninapojaribu kuombewa mbona hazionekani???
 
tatizo jingine unaweza ukawa umekua sana kifikra na kimawazo kila unae kutana nae unaona mbona ana mambo ya kitoto ,au mbona hafikirii future ,mbona mbona zikawa nyingi ni vyema kumwambia mungu akusaidie mmmh!we are in the same boat
exactly
 
"Kila anaenitongoza namuona hafai hata kama ana hela zake"....inaonyesha Pesa ndio motive kubwa ya kupenda kwako...yawezekana hujaridhishwa na viwangi vya fedha za watu wanaokutongoza......Nenda kaijuuze kwenye madanguro
 
Hizo kwenye RED na BLUE NI dalili ambazo ninazo lakini kila ninapojaribu kuombewa mbona hazionekani???
Wewe unafikiri ukiwa na Jini Mahaba anaweza kutoka kwa kuombewa na Wachungaji? hata wawepo wachungaji 100 hawawezi kumtowa Jini Mahaba usifanye mchezo. Kumtowa Jini Mahaba kuna mbinu zake na dawa zake sio kuombewa na Wachungaji nenda kwa Ngwajima akakuombee hawezi pia kumtowa huyo Jini Mahaba.
 
kwanza samtimes its better kuwa na mtu ambaye you real love him kuliko kuwa na mtu hata akikusogelea hushtuki wa nini sasa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom