Recent content by God bell

  1. God bell

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanachama wa JamiiForums - Jikeshupa amefariki dunia

    RIP Jikeshupa
  2. God bell

    JamiiForums Tanzania Nina tatizo la kukojoa damu

    Hiyo ni dalili mojawapo ya tezi dume( prostate enlargement)
  3. God bell

    JamiiForums Tanzania Safari

    Sawa mkuu. Ndo sh ngapi nauli ya Arusha mpaka bukoba halafu bukoba mpaka uganda
  4. God bell

    JamiiForums Tanzania Safari

    Wapendwa habari za leo. Naombeni kujua nauli ya kutika Arusha hadi Uganda Kampala. Nataka nisafiri kwa bus nina shughuli binafsi naenda kufanya kule. Naomba pia nipate ufafanuzi wa sehemu ya kulala yaani Lodge ambaho sio ghali sana. Iwe tu ya gharama za kawaida kulala
  5. God bell

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike

    Twende inbox
  6. God bell

    JamiiForums Tanzania Nilimwambia nina VVU lakini akanambia yuko tayari tuoane

    Hii ni story ya kusadikika nyakati hizi ambazo tunaishi nchi ya kusadikika.
  7. God bell

    JamiiForums Tanzania fahamu kuhusu mbwa kwenye dawa za mapenzi

    Hahahahahahaha
  8. God bell

    JamiiForums Tanzania Namchukia sana mama yangu mzazi

    Ushauri wa popo huo. Asizae halafu iweje
  9. God bell

    JamiiForums Tanzania TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

    Rest in Paradise Dada yetu
  10. God bell

    JamiiForums Tanzania Msaada: Chaguzi za kidato cha kwanza 2018

    Bado mkuu hawajatoa, mwanyewe nayasubiria yatoke
  11. God bell

    JamiiForums Tanzania Kwa hali hii niendelee nae au nimuache tu!!

    Miaka 30 ni mingi sana mkuu. Njoo inbox tuongee Mimi pia natafuta mchumba Wa umri wako Sent using Jamii Forums mobile app
  12. God bell

    JamiiForums Tanzania Tumia mafuta ya habat soda (black seed oil) kutibu magonjwa mengi

    Mkuu myoyambendi nashukuru kwa afafanuzi huu. Ubarikiwe sana Sent using Jamii Forums mobile app
  13. God bell

    JamiiForums Tanzania Tumia mafuta ya habat soda (black seed oil) kutibu magonjwa mengi

    Wakuu poleni kwa majukumu ya maisha. Naombeni msaada wenu Wa kitabibu... Kuna mtu nimemueleza matatizo ya maumivu niliyo nayo mwilini ndo akaniagiza nikatafute mafuta ya black seeds oil kwamba takuwa tiba ya maumivu niliyo nayo Kifupi ni kwamba nasikia maumivu kwenye tumbo la chini ya...
  14. God bell

    JamiiForums Tanzania Kunyweni kahawa ina faida lukuki

    Wazungu wanakunywa kahawa strong sana na hawaweki sukari lakini hawana presha , wala ugonjwa wowote ule. Kunyweni kahawa acheni kudanganywa tena inatibu kibofu cha mkojo kwa wale wenye matatizo hayo. Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
  15. God bell

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Natamani nioe mke wa pili na nina ndoa ya Roman catholic

    Fukuza huyo ulie nae kwanza halafu ndo umuoe huyo uliempenda kwa sasa Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom