Msaada: Chaguzi za kidato cha kwanza 2018

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,364
73,953
Naomba kujua kama serikali imetanga majina ya waliochaguliwa kidato cha kwanza 2018
 
We mbona uko shapu kusambaza haka kalink tena makusudi wakati unajua kabisa unajua ni mkoa mmoja tu. Bila shaka kuna namna unafaidika maana nimekuona kila Uzi ulioanzishwa umekuwa very fast kulete haka kalink uchwara
poa ngoja niondoe
 
Ok, nimefanikiwa kuifungua. Fungueni kiambatanisho hiki kwaajiri ya waliochaguliwa Dar es Salaam
 

Attachments

  • SELECTION DSM 2018.pdf
    6.2 MB · Views: 566
Back
Top Bottom