Recent content by Gnaber

 1. Gnaber

  Mafuta Mazuri ya kupakaa ya Nywele

  Nipe hiyo tenda, nikuandalie mafuta bora kabisa kwa kutumia essential oils na herbs vitavyofanya nywele zako zirefuke, ziwe nzito na zenye rangi ya kung'aa na texture itakayokupa tabasamu kila utakapozigusa.
 2. Gnaber

  Dear housewives

  It is past 8am. You woke before 5am to prepare your family's breakfast. You equally had to prepare lunch and arrange in your kids lunch boxes. You have dressed them up and they have left for school Hubby has left for work and now you are left with the last kid who is less than a year old. You...
 3. Gnaber

  Ngozi kufubaa na kuwa kavu. Ni mafuta gani mazuri ya kupaka sehemu za baridi?

  Ni mafuta gani ya mgando unayotumia? Kama Ni baby care , rays na yanayofanana na hayo hayatakusaidia, Ukiwa sehemu au kwenye nyakati za baridi na hewa kavu kama nyanda za huko ni vizuri kutumia vipako vizito ambavyo vitakuletea joto pamoja na kutunza unyevu nyevu wa ngozi yako usipotee na...
 4. Gnaber

  Ni muhimu kuacha mtoto kabla ya kufa?

  Kwa baadhi ya imani zinafundisha kua maombi ya kugusa kutoka moyoni na yasiyo na kipingamizi ni yale ya mzazi kumuombea mtoto wake, ama ya mtoto kumuombea mzazi wake, hivyo Kuna faida ya kuacha mtu atakayekukumbuka na kukuombea usamehewa madhambi yako (kama unaamini Kuna hukumu lakini) Pia...
 5. Gnaber

  Je, ni biashara gani naweza kufanya ikanipatia walau ada?

  Miezi mitatu au zaidi nadhani kulingana na mafunzo yenyewe.
 6. Gnaber

  Je, ni biashara gani naweza kufanya ikanipatia walau ada?

  Wahi VETA ukachukue fomu ya kujiunga na mafunzo unayohitaji, serikali imetoa udhamini kwa vijana kusoma mafunzo ya ufundi stadi kwa hiyo utajifunza bure kabisa wakati kukiangalia namna ya kujiendeleza hapo baadae.
 7. Gnaber

  Aina gani ya nyanya inafaa kulima msimu wa masika?

  Mbegu inayofaa kulima kipindi cha mvua Ni mbegu ambayo imetengenezwa kuhimili sehemu kubwa ya misuko suko na changamoto na magonjwa mengi yanayokithiri kipindi cha mvua. Ukiwa na lengo la kuzalisha mbegu hizi jitahidi kwenye makadirio yako wakati wa kuzalisha matunda uwe ni kipindi cha mvua...
 8. Gnaber

  Wale wa home made products, njooni hapa

  Ni kitunguu saumu/swaumu/thomu
 9. Gnaber

  Wale wa home made products, njooni hapa

  Hii huchemshi mi natengenezaga hivi: Viini vya yai 4 Mafuta ya kupikia nusu kikombe hadi kikombe kimoja( ukipata olive oil ni bora zaidi Kitunguu saum kiponde chota kidogo sana Ndimu kipande 1/vinegar vijiko 3-5 Chumvi Optionals:- Flavors nyingine upendazo mfano unaweza ongeza mustard seeds...
 10. Gnaber

  Wale wa home made products, njooni hapa

  Samahani hizi hizi vitamin C za vidonge unazisaga ama zipo special kwa matumizi kama hayo?
 11. Gnaber

  Wale wa home made products, njooni hapa

  Asante mkuu, nimekubali uzalendo wako...barikiwa sana. Unga wa vitamin C unapatikana wapi?
 12. Gnaber

  Wana JF yamenikuta ya huyu binti mwenye mtoto, tafadhali naombeni ushauri

  Aisee nakuonea huruma ndugu yangu vile huruma yako inaenda kukupa majuto ya uzeeni. Bila shaka umesoma kisa cha anko mwitore.. ..nakuona unaenda kumpokea kijiti aisee. Kwa umri wa huyo binti kua na matendo hayo inaelekea wazi kua nyumbani ameshindikana, either tatizo limeanzia kwa wazazi au ni...
 13. Gnaber

  Nauza Korosho kutoka Kitangali Mtwara

  Unapatikana wapi mkuu?
 14. Gnaber

  PICHA: Kwanini baadhi ya bidhaa zinaundwa kwa ajili ya Africa tu?

  Uzuri wamekuandikia kabisa, mfuko wako ndo utaamua uchukue cha Europe au vya America.....nadhani kwa bidhaa za Africa wanatumia low budget production vile hatunaga hata viwango vya ubora + kupenda mteremko wa Bei.
 15. Gnaber

  Naomba ushauri/maoni juu ya jambo hili

  Wao pia waliliona hilo kabla ndio maana kwa matumizi ya kibiashara wakaweka line maalum unazoweza kusajili kwa ajili ya kupokea fedha za biashara zile "lipa kwa M-pesa" au "lipa kwa tigopesa" sidhani kama miamala yake inaweza kurudi kirahisi namna hiyo. Kwa kesi yako nadhani ni vyema ukadeal na...
Top Bottom