Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,080
- 165,195
Kuna vifo vinashtua 😢
In a blink of an eye a life is taken awayWasalaam,
Leo baada ya wiki tatu kupita. Nimempigia simu jamaa yangu tuliyeshibana. Naambiwa alishakufa na amezikwa.
Hakika nimeamini watu hufa.
Yeah,sekunde ikipita bado unapumua shukuru MunguWasalaam,
Leo baada ya wiki tatu kupita. Nimempigia simu jamaa yangu tuliyeshibana. Naambiwa alishakufa na amezikwa.
Hakika nimeamini watu hufa.
In a fraction of a second, someone is dead.
Pole sana aseeNi kweli mkuu. Niliongea na baba yangu kwa dakika thelathini, dakika kumi baadae napigiwa simu amepata ajali na kufa hapo hapo
Sip of a dew is a leap of soulIn a fraction of a second, someone is dead.



Anhaa wewe jamaa utapata mkosi ujue .
Sio deni la hela ila aliumwa sana waliokuwa wanamuuguza wakanificha hawakuniambia , akafariki ila kipindi cha kuumwa chote alikuwa akiwasihi wanijuze ila waligoma .
Sasa alipokufa ndiyo nikapewa ujumbe , deni nililonalo kwake ni kumwambia sikuambiwa kuwa anaumwa na pia ajue namkumbuka sana tena sana ila sina namna ya kumuona .
Kama unataka hela wewe jamaa kama deni mm sikupi hela ila niko Mbeya njoo tukutane Mwalumengese gharama zote zangu tufurahie kaka .
Serious?? Kuna Jamaa yangu kafa gafla na taka nijue imekuaje kafa kimaajabu ajabu hiviPole saana mkuu, ukitaka kuongea na wafu nitafute
Kwani ulikuwa uamini mkuu?Wasalaam,
Leo baada ya wiki tatu kupita. Nimempigia simu jamaa yangu tuliyeshibana. Naambiwa alishakufa na amezikwa.
Hakika nimeamini watu hufa.
Hapo Ndiyo wimbo wa Samba Mapangala ' Duniani tunapita' Unapo endelea kuwa wa thamani.Maisha tunapita mkuu.
bado kuna mtu anaamini mpwayungu mzima kichwani?Pole saana mkuu, ukitaka kuongea na wafu nitafute