Recent content by GMC

  1. G

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Alhamisi tarehe 27 Machi, 2014 - Uwasilishaji wa kanuni za Bunge

    naombeni link mnasikilizia wapi?
  2. G

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Alhamisi tarehe 27 Machi, 2014 - Uwasilishaji wa kanuni za Bunge

    Wapi nitaona bunge online?
  3. G

    JamiiForums Tanzania Countries in search for missing MH370 increase to 26

    Pole sana anza kujifunza sio kukaa JF unapiga umbea.Brunei ni kataifa kadogo na sultan wake ni miongoni mwa mabilionea na mdogo wake Prince Jefri ni mpenda anasa mkubwa.KUna mji unaitwa Darusalaam.Hata bongo fleva usikikilizi?
  4. G

    JamiiForums Tanzania CAF Champions League

    Sasa si ui copy hapo na uniwekee hapa mbona inakuwa kazi link tu??
  5. G

    JamiiForums Tanzania CAF Champions League

    Mkuu tunaombeni link basi
  6. G

    JamiiForums Tanzania CAF Champions League

    Please link mkuu
  7. G

    JamiiForums Tanzania CAF Champions League

    Mkuu unatumia link gani kuangalia mpira?
  8. G

    JamiiForums Tanzania CAF Champions League

    Unaangalizia link gani mkuu?
  9. G

    JamiiForums Tanzania CAF Champions League

    PLease mnaangalizia link gani? naomba link
  10. G

    JamiiForums Tanzania Unawatambua hawa?

    Wakina nani hawa?
  11. G

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Kipindi kileeee JAMBOFORUM!!

    Mkuu, JF ya sasa haina mashiko hoja ni CCM na CDM na udini.Mimi siku hizi kusema ukweli JF sio source yangu ya news kama zamani na huwa naweza kumaliza hata miezi miwili sijaingia JF.Hamna jipya.I really miss Jambo forum
  12. G

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Kipindi kileeee JAMBOFORUM!!

    MKuu kumbe ulichukua moja kwa moja Tina? alikuwa na busara sana yule dada.Hongereni sana Kilakshari kapotelea wapi? na yule Tunu?
  13. G

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Kipindi kileeee JAMBOFORUM!!

    RIP Jibaba namkumbuka sana mshikaji si alikuwa UK? kifo chake kilisikitisha sana. Aahaha Sweet,Mizz nawakumbuka FGRT yuko wapi huyu bingwa? acha kabisa enzi zile ilikuwa raha sana ukiingia kwenye chat unatoka na chakula cha ubongo. MKuu umenikumbusha mbali sana DJ Sure alikuwa anatupa burudani...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Nteze John Lungu Shavu Dodo Baada ya Soccer Maisha Marekani.

    Ni mchungaji sijui wa kanisa gani. Mchungaji Nteze John Lungu aliyekuwa mchezaji wa timu ya Pamba ya Mwanza na Simba Sports Club ya Dar es Salaam akiongoza ibada maalum ya Kumbukumbu ya marehemu Flora Komba Glimsdale iliyofanyika Jumamosi Jan 4, 2014 mjini Seattle, Washington State
  15. G

    JamiiForums Tanzania Winter in Chicago

    NEXT ▶ Ashley McMillan, 22, immerses herself in the water during the New Year's Day Polar Bear Plunge at North Avenue Beach - John J. Kim, Chicago Tribune, Jan. 1, 2014 NEXT ▶
Back
Top Bottom