Watato wenye IQ kubwa mara nyingi Huwa ni watulivu, siowasemaji sana. Huwa na huruma, hupenda kuelekeza wenzake,
Huwa ni mdadisi nk.
Jitahidi kulea mtoto wako, usihisi kama ni usumbufu pia mtoto wa miaka mitano Bado sana. jaribu kuuliza akiwa mkubwa anapenda kuwa nani, uliza hili swali ndani...
Mkuu umeandika yalioko kwenye fikra zangu. 100% nakuunga mkono.
Mfano kwenye mtaala mpya waliacha walimu wa uchimi wakaajiri watu wa accountancy ambao hawajui chochote kuhusu teaching methodology eti wakafundishe business study.
Binafasi nachukia sana kiongozi anapoingiza mambo ya msingi kuwa...
Mkuu unakumbuka kabla ya 29/10/2025. CDM walikuwawamefungiwa kujishulisha na mambo ya siasa kwa muda mrefu yaani miezi kadhaa nyuma.
Umeimba chadema chadema.... ila nahsi hauna kumbukumbu za kutosha otherwise ni uchwawa tu.
Mkuu mpaka sasa. Hakuna kifungu cha sheria kwenye kauli 'NITAVURUGA UCHAGUZI NA KUHAMASISHA UHASI'kuwa ni uhaini,Ndio maana unaona kesi haina kichwa Wala miguu. Nikuambie tu kungekuwa na sheria ilionyooka kwenye kauli hizo za LISSU kesi ingeendelea ila baada ya kuona wameangukia pua jamhuri...
Kwenye ligi, Adhabu ya kupokwa point tatu ni kubwa kuliko hayo mamilion. Ikitumika hiyo hakuna timu itakaidi makusudi kutumia nyumba nje ya uwanja au milango isio rasimi.
Kuna msemo maarifu."Mchungaji Akitaka gari au usafiri waumini tunachanga, ila muumini akitaka gari anaombwewa na mchungaji kwa kuwekewa mkono kichwani."
Elewa kuchanga na kuombewa.
Natumaini muwazima wote. Kwa wale ambao wanachangamoto za kiafya, kiuchumi na nk. Mungu afanye njia kila Mtu awe kwenye hali anaipenda. Twende kwenye mada yeti.
Leo nimekumbuka baadhi ya adha nilizopitia hasa kwenye presentation hii ni kutokana kufuatilia taarifa au hotuba za kiranja mkuu wa...
Kuna mtu na mdai Toka 2025 mwezi wa pili. Ila hapokei simu tena, nimtumishi wa serikali, nitaratibu gani zinahitajika kupeleka taarifa zake uko.
Nb.Namjua ni mpenda mikopo sana hasa nmb bank.
Hata Brazil aliwahi kufungwa magoli ya kutosha, ilikuwa nusu fainali. Mechi kati Germany vs Brazil 14 July 2014 mpaka dakika tisini matokeo Germany 7 Brazil 1.
Hii pia ilitakiwa kuwa kwenye record maana timu kubwa kufungwa magoli ya kutosha tena kwenye nusu fainali ndani ya dakika 90
Ili uweze kuwa broker kunataratibu za kufuata kama ifuatavyo;
1.Masharti ya Kisheria na Kifedha kwa Kampuni
Biashara ya udalali wa hisa haifanywi na mtu binafsi moja kwa moja, bali kupitia kampuni iliyosajiliwa. Masharti makuu ni pamoja na:
Aina ya Kampuni: Lazima iwe imesajiliwa kama kampuni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.