Recent content by GlorytoGod

  1. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mungu asifanye kuwe na dini moja?

    soma AMOS 5:21---- MUNGUBABA hajawahi kuuumba dini na wala hazitambui wala sadaka zao hazitambui wala nyimbo zao amesema amezikataa
  2. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Moyo wangu una majonzi, yako wapi mapenzi ya dhati?

    amen
  3. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Moyo wangu una majonzi, yako wapi mapenzi ya dhati?

    ISAYA 34:16 NENO LINASEMA HAKUNA ATAKAYEMKOSA MWENZAKE YAANI KM UMEONA DALILI HIZO TAMBUA FIKA KUNA MTU ANAYETEGEMEWA NA C WW JITAHIDI RUDI MAGOTINI MWA MUNGU KWA UPYA MAANA LILILO KUSUDI LA MUNGU BABA HALITAKUSABABISHA UJE UJUTE BALI KUSUDI LA MUNGU BABA LITAKUFANYA WEWE NA NYUMBA YAKO...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Vifaranga wa kienyeji wanapatikana kwa1200/= tu

    Ndo mkoa gan huo ndgu
  5. G

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

    nunua septrin za elfu, nunua mafuta ya baby care ndogo saga hivyo vidonge changanya na hayo mafuta anza kupaka sehemu iliyoathirika ndani ya wiki mbili lazima urudi na mtokeo mazuri
  6. G

    JamiiForums Tanzania Natafuta mafuta ya nywele halisi za kiafrika

    hayo mafuta ya castor oil ni haya ya jamii ya blue magic??? nisaidieni jamani au ni ya aina gani??? ni ya maji au ni mgando?? pia vp haya ya wonder 8oil ni haya ya maji au una na ya mganodo?? na vp kuhusu matumizi yake??? samahanini kwa usumbufu jamani
  7. G

    JamiiForums Tanzania Natafuta mafuta ya nywele halisi za kiafrika

    thnx my dear kwa upendo na ushirikiano wako Olivia Pope
  8. G

    JamiiForums Tanzania Natafuta mafuta ya nywele halisi za kiafrika

    oriflame set ni shilingi ngapi??
  9. G

    JamiiForums Tanzania Mke V/S Dada wa kazi

  10. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba aliyeokoka

    angekuwa hajaokoka asingetafuta mtu aliyeokoka mkuu
  11. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba aliyeokoka

    kila la kheri na MUNGU awatangulie
  12. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa Tukio Hili Wallahi Naacha Kuchepuka, Shikamoo Mke Wangu

  13. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatua ya kumpata mchumba wa ndoa ni ngumu

    nyumba na mali ni urithi apatao mtu toka kwa baba yke bali mke/mume mwema mtu hupewa na MUNGU hivyo mtangulize MUNGU ktk hitaji lko atakupa sawa na haja ya moyo wako usienende kwa akilu zako mwenyewe maana swala la kuoa au kuolewa halihitaji majaribio kaka
  14. G

    JamiiForums Tanzania Msaada: Tatizo la tumbo kuunguruma

    pendelea kunywa chai ya tangaewizi itamaliza hilo tatizo pls mimi mwenyewe nilikua muhanga ila kwa sasa nk fit
Back
Top Bottom