Kwanini Mungu asifanye kuwe na dini moja?

Kwanini Mungu asifanye kuwe na dini moja?

Dini ni mawazo ya watu kuhusu Mungu

Dini si Mungu na Mungu si dini

Ungeeleweka vizuri km unhesema kwann watu wasikubaliane kuwa na dini moja
 
Ha ha haaa, kwa hiyo kuna makanisa ni kama chama cha Hashim Rungwe!!
soma AMOS 5:21---- MUNGUBABA hajawahi kuuumba dini na wala hazitambui wala sadaka zao hazitambui wala nyimbo zao amesema amezikataa
 
Back
Top Bottom