Hatua ya kumpata mchumba wa ndoa ni ngumu

Dah ,,,kuna watu wanapendwa kweli wanazingua ...jamani mim kila wakati nimelia zaidi ya mara mbili kwa kuumizwa then nikaamua kumove on ...nataman hata kupata wakunifuta machozi lakin bado ni wasanii halafu huyo anapendwa lakin anazingua naumia ,,,khaaaa natamani ningependwa mim ...kweli ngombe wa maskini hazai
...teh, nyie mnaogopwa sana.
 
kama nimeumbwa kwa mfano wa sura ya mungu sidhani kama nitaogopwa nasubiria muda wangu ufike...mungu atanipa wa ubavu wangu ..naamini hivo
..wala usihofu, wako anakuja kwa mda wa Mungu. Nilisema hivyo coz wachagga wanasemwa sana, meaning wapo wanaowaogopa!! Na wewe unapiga mvinyo kwa sana? Manake warombo na pombe ni balaa!!
 
tehteh..mvinyo kucha ni rahis sana ..hasa ukipta mtu wa sahihi kwa maisha yako...
 
Hii situation ipo kwa wengi point ya msingi move on, muombe sana Mungu kama ipo ipo tu, maana Mungu wetu ni mwaminifu na anatuwazia mema, but walk in faith, uwezi jua unae mkomalia, lazima uikane nafsi kwa ulio yafanya kwa uyo dada it's enough to understand (1 year) now it's better to remain silent, kama ni wako atakuja trust me.
 
Dah hii mada imenigusa sana.
Natamani sana kuwa na mke.
Maisha yamekuwa mazuri lakini sipati mke.
nyumba na mali ni urithi apatao mtu toka kwa baba yke bali mke/mume mwema mtu hupewa na MUNGU hivyo mtangulize MUNGU ktk hitaji lko atakupa sawa na haja ya moyo wako usienende kwa akilu zako mwenyewe maana swala la kuoa au kuolewa halihitaji majaribio kaka
 
Mapenzi ya kweli hamna,mmejaa usanii tu! kuna mda najikuta nawaona wanaume hawana lolote la maana maishani mwangu..Namove on na kujiweka bize na yangu.
Mkiona matatizo mnakimbia,Binti kanawiri unajileta ooh nakupenda!!
****** zenu wote! badilikeni msipende mtelemko..
 
Dah ,,,kuna watu wanapendwa kweli wanazingua ...jamani mim kila wakati nimelia zaidi ya mara mbili kwa kuumizwa then nikaamua kumove on ...nataman hata kupata wakunifuta machozi lakin bado ni wasanii halafu huyo anapendwa lakin anazingua naumia ,,,khaaaa natamani ningependwa mim ...kweli ngombe wa maskini hazai

khetewesa umesoma hapa lakini brotha? Vilio vyenu vimesikika. Thank MMU later. Kila la kheri.
 
Mapenzi ya kweli hamna,mmejaa usanii tu! kuna mda najikuta nawaona wanaume hawana lolote la maana maishani mwangu..Namove on na kujiweka bize na yangu.
Mkiona matatizo mnakimbia,Binti kanawiri unajileta ooh nakupenda!!
****** zenu wote! badilikeni msipende mtelemko..

Hapo kwenye nyota na pakurudie mwenyewe.

For serious tho, huwezi move on bila kusamehe. And on behalf of every player, we're sorry. Sincerely.
 
Kupata mke ambaye ni sahihi kwako ni changamoto sanaa..utajikuta unalazimika kuoa tu mtu yeyote ilimradi umeoa kabka ya kuzeeka..ila mkuu kua na subira tu pengine Mungu akakupa wakwako soon..
 
Hapo kwenye nyota na pakurudie mwenyewe.

For serious tho, huwezi move on bila kusamehe. And on behalf of every player, we're sorry. Sincerely.
Mi ni ke...Sina *****! zinirudieje??
Nlishasamehe na kusahau but nataka niwajulishe kitu,wale wanaowachezea mabinti ndo wanaowazibia riziki zenu za kupata mke..Kemeeni! na pia kama unahitaji mke mwema jiulize we ni mume mwema???
 
Kitambo like 7 - 8 years ago niliwahi kumpenda dem mmoja hvi (mrembo, light skinned nd young) but it wasnt my luck, akanizungusha na kuniumiza sana. Like alikua ananiweka kwenye mizani hivi. I was like OK its all good.

Ile hasira nikaihamishia into working hard nd having a strong drive nd determination to succeed which i can say i did kwa kiasi flan.

On my struggles i met some other chick wit the same qualities as my Ex but with a good loyal heart as an added advantage.

Later on im all good nd happy, yule dem akajirudi tena eti turudiane....nakumbuka treating her like trash nd told her " she z nothing i ever want in a woman. NO, Thank you "

Kabaki anatanga tanga tu ka msukule.
 
Actually, wanaochezea mabinti wanajizibia wao na hao mabinti. So wajikemee wenyewe.

Na kwenye interview, it's all about the interviewee, not the interviewer.
 
Kitambo like 7 - 8 years ago niliwahi kumpenda dem mmoja hvi (mrembo, light skinned nd young) but it wasnt my luck, akanizungusha na kuniumiza sana. Like alikua ananiweka kwenye mizani hivi. I was like OK its all good.

Ile hasira nikaihamishia into working hard nd having a strong drive nd determination to succeed which i can say i did kwa kiasi flan.

On my struggles i met some other chick wit the same qualities as my Ex but with a good loyal heart as an added advantage.

Later on im all good nd happy, yule dem akajirudi tena eti turudiane....nakumbuka treating her like trash nd told her " she z nothing i ever want in a woman. NO, Thank you "

Kabaki anatanga tanga tu ka msukule.
.......daamn......
 
Mapenzi ya kweli hamna,mmejaa usanii tu! kuna mda najikuta nawaona wanaume hawana lolote la maana maishani mwangu..Namove on na kujiweka bize na yangu.
Mkiona matatizo mnakimbia,Binti kanawiri unajileta ooh nakupenda!!
****** zenu wote! badilikeni msipende mtelemko..
Matatizo kwan huna wazaz ww mpaka wanaume tu ndo wayatatue? $#$$/^^$$// zako naww acha kujiuza
 
Back
Top Bottom