Recent content by glamorous

  1. G

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kusimamia vituo vya kupigia kura

    Jamani hiyo Sera ya kusema walimu ndo wanaosimamia imeanza na uchaguzi huu? Maana Mimi sio mwalimu but uchaguzi uliopita niliomba na nikapata
  2. G

    JamiiForums Tanzania Mikoa ifuatayo kuhakiki taarifa zao katika daftari la kudumu la mpiga kura

    Tatzo linakuja kwamba kuna baadhi ya watu walirudia rudia kutolewa vitambulisho kama Mara mbili kwa kusema kwamba Mara walikosewa picha , wengjne printer hazikutoa kitambulisho vizuri, sasa database haikubali dublication za data so ukiwa miongoni mwao ni unafutwa tu unaonekana kama ulikuwa...
  3. G

    JamiiForums Tanzania BVR Kit Operators na Waandishi Wasaidizi

    Manispaa ya ila ni pale kituo cha baridi ukumbi wa anatoglou , seminar inaanza kesho jumatano saa 2 asubuhi
  4. G

    JamiiForums Tanzania Anayejua tarehe halisi ya siku ya kufanya seminar ya BVR

    Sisi wa ilala tulienda Leo pale baridi tukaambiwa training ni jumatano hii SAA mbili asubuhi, so sijui kwa wilaya nyengine
  5. G

    JamiiForums Tanzania Kazi ya kuandikisha BVR Ilala

    Kwa wale wa ilala,Unatakiwa kuripot kesho SAA mbili kamili asubuhi kata uliyopangiwa
  6. G

    JamiiForums Tanzania Uandikishaji wa BVR kwa mkoa wa Dar es Salaam

    Jamani naomba anayejua kata ya kivukoni ilipo naomba anipatie direction jinsi ya kufika hapo
  7. G

    JamiiForums Tanzania Kazi ya kuandikisha BVR Ilala

    Jamani naomba anayejua kata ya kivukoni ilipo naomba anipatie direction jinsi ya kufika hapo
  8. G

    JamiiForums Tanzania Kazi ya kuandikisha BVR Ilala

    Ndugu zangu majina ya ilala tayari yametupiwa mtandaoni check ILALA BLOG
  9. G

    JamiiForums Tanzania Uandikishaji wa BVR kwa mkoa wa Dar es Salaam

    Ndugu zangu majina ya ilala tayari yametupiwa mtandaoni check ILALA BLOG
  10. G

    JamiiForums Tanzania BVR Kit Operators na Waandishi Wasaidizi

    Ndugu zangu majina ya ilala tayari yametupiwa mtandaoni check ILALA BLOG
  11. G

    JamiiForums Tanzania Kazi ya kuandikisha BVR Ilala

    Majina mpaka sasa bado sasa sijui kwanini ilala mambo yanakuwa yanachelewa kiasi hiki, mpaka watu tunakata tamaa
  12. G

    JamiiForums Tanzania Kazi ya kuandikisha BVR Ilala

    Majina mpaka sasa bado sasa sijui kwanini ilala mambo yanakuwa yanachelewa kiasi hiki, mpaka watu tunakata tamaa
  13. G

    JamiiForums Tanzania BVR Kit Operators na Waandishi Wasaidizi

    Nimesikia fununu kwamba watabandika Leo jioni so check vizuri jioni au kesho asubuhi maana hata huku ukonga bado hawajabandika
  14. G

    JamiiForums Tanzania BVR Kit Operators na Waandishi Wasaidizi

    Mkuu Kama unaweza kupata na majina ya ukonga tafadhali naomba tupostie maana hata sijui naanzia wapi
  15. G

    JamiiForums Tanzania Ni Mikoa gani inaendelea na BVR? Dar tunasubiri kits tujiandikishe!

    Dar 16 - 25, pwani 7 - 20
Back
Top Bottom