vp ilala washatoa majina walio fanya usail DIT..mwenye kujua ani text plz 0716512719
Majina mpaka sasa bado sasa sijui kwanini ilala mambo yanakuwa yanachelewa kiasi hiki, mpaka watu tunakata tamaa
vp ilala washatoa majina walio fanya usail DIT..mwenye kujua ani text plz 0716512719
Jamani naomb kufahamishwa kwa wale walobahatika kupata nafasi,utaratibu ukoje?? Yani training ni lin na wap wanapaswa kuripoti?
Kwa wale wa ilala,Unatakiwa kuripot kesho SAA mbili kamili asubuhi kata uliyopangiwa