shemweta91
Senior Member
- Sep 4, 2013
- 101
- 18
- Thread starter
- #21
alafu inakuaje mtu mmoja jina lake limetoka sehemu zote mbili?
alafu inakuaje mtu mmoja jina lake limetoka sehemu zote mbili?
kwani majina yametoka? And if yametoka wamebandika wapi ndugu?
ndio yametoka na usaili ni leo saa tatu pale shule ya msingi mnazi mmoja. mbona nimattach hayo majina humu
nimeweka attachment japo ni pdf na sasa naweka linkmbona majina hatujayaona ina maana tayari watu washaanza usaili duh
kwa aliepo apo mnazi mmoja kwenye interview vipi wameshaanza..tafazal naomba kujuzwa
usaili ulikuaje kwa ilala?Jamani walofanya usaili leo majibu hayajatoka?
Kwa waliofanya usaili leo wilaya Ilala stay tuned majibu muda wowote kuanzia sasa!
vp ilala washatoa majina walio fanya usail DIT..mwenye kujua ani text plz 0716512719
Majina mpaka sasa bado sasa sijui kwanini ilala mambo yanakuwa yanachelewa kiasi hiki, mpaka watu tunakata tamaa