Mkuu! Kuwa na mpenzi mmoja inawezekana na kujicontrol pia inawezekana lkn kwakua umeweka neno hili la haiwezekani ktk akili yako ndo maana haiwezekani hata tukikuombea au kukupigia dua haitawezekana CHAMSINGI weka neno inawezekana kwanza ktk akili yako
Mapenzi haya endi hivo mkuu! Hususani kwa mtu mwenye malengo na ww sizani kama anaweza kukufanyia hivo, hivo ni viishara tu kuwa wewe atakutumia tu na sio akuchukulie kama wife CHAMSINGI ACHANA NAE kama kweli alikua anania ya kukufanya mke, utaona juhudi zake kuludisha penzi lako.
Hilo nalo neno, sio kila kiungo ukikishika kinaweza kumfanya awe na hisia sasa lazima ujue viungo nyeti vinavyo ibua hisia, mbal na Hilo upendo hujulikana kutokana na jinsi m2 unavyo kuchukulia. Nikimanisha rafiki au mpenzi hilo lazima uzingatie
Kwa tatizo lako hilo mm kwa upande wangu naweza xema hivi: kila m2 hupenda kufanya bidii ili mladi2 atimize ndoto zake za kimaisha lkn kutimiza ndoto hizo mambo mawili yaweza tokea; eidha kufanikiwa ktk mda mwafaka au kuchelewa kidogo sasa kwako ww lengo lako limechelewa kidogo lkn amin 2 kwamba...
Naona dada angu uwelewa mdogo! Nisawa na kuona wenzako wakiumia alafu wewe ukawa unashabikia kwa unafiki! Sasa ili kukufurahisha tukwambie upo sahihi ukisemacho wewe lkn ungekuwa unabusara na hekima ungejua namna ya kumsaidia mwenzako kimawazo kuhusiana na tatizo alilo nalo sidhani kama jamaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.