StoneOliver
Senior Member
- Dec 28, 2016
- 111
- 60
Maombezi yanapunguza vichocheo? duh....Huenda utakua na shida ya wingi wa testesterone au vichocheo vinavyohusiana na activeness ya viungo vya kujamiiaana pamoja na emotions. Nadhani uende tu hosp utapata msaada. Ikishindikana join huduma ya maombezi ufanyiwe maombi
Acha uzembe bila ngono mbona inawezekana.