Video Ya Wimbo Taifa

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Dec 29, 2014
15,271
29,879
Hivi, Tangu mwaka 1962 wimbo wa Taifa unaimbwa lakini Video yake haijatoka Kwanini?

Inamaana pesa za Serikali zinaenda wapi? Hilo Nalo Ni JIPU!!! Naomba 'MAGUFULI' Alitumbue! AU MWENZANG UNAYO VIDEO YAKE! Unitumie, by sabrah
 
[HASHTAG]#freemaxencemelo[/HASHTAG]
[HASHTAG]#TunamtakaBenAkiwaHai[/HASHTAG]
[HASHTAG]#JusticeForLema[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom