Recent content by GITWA

  1. GITWA

    JamiiForums Tanzania Orodha ya magonjwa ambayo ukiyapata hayatibiki kwa hapa Tanzania

    Kisukari inatibika kwa miti shamba
  2. GITWA

    JamiiForums Tanzania Eti wakuu, hapa sinimejmjibu kiungwana kabisa...??

    Hilo jina sasa eti Aminayutiai du!!??
  3. GITWA

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Nishaziangalia zaidi ya mara tatu. Natamani kitu kipya cha aina hizo ili nisisimue ubongo
  4. GITWA

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Kweli hua nafatilia vijana watupe vigongo vya kutuburudisha lakini kwa sasa ni hakuna.
  5. GITWA

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Sunshine haiumizi kichwa haina twist sana
  6. GITWA

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Du!? Jukwaa letu siku hizi limepwaya sana
  7. GITWA

    JamiiForums Tanzania Moto mkubwa shule ya Uhuru

    Mtu mwenyewe aliyetoa hoja shule ivunjwe anaitwa Moto wa volcano na moto ndio umewaka hapo swell wonder shall never end
  8. GITWA

    JamiiForums Tanzania “Intelligent Businessman” popote ulipo tundoe wasiwasi wanao!

    Du!? Kweli aje hata anyooshe mkono tu tutambue uwepo wake.
  9. GITWA

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi amchana Lissu na CHADEMA kwa kuleta mizaha kwenye harakati za kukomboa Taifa kufuatia salamu za Lema na Lissu kwa kifo cha mume wa Rais

    Wale waliosoma fasihi wanajua ujumbe wa Lisu wa pole. Huyo Mange hajui falsafa ya Lisu.
  10. GITWA

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Mnatujazia Server hapa sisi Chelsea tunawachora. Hatujafungwa kelele kibao utafikiri madem wa vilabu vya pombe za kienyeji.
  11. GITWA

    JamiiForums Tanzania Dalili ya mvua ni mawingu

    Nini tena huko
  12. GITWA

    JamiiForums Tanzania Je yawezekana siku Moja akatokea Rais akaomba kukaa pembeni kisa suala la Afya?

    Haya mambo yanafikirisha. Mimi ni sawa na Tomaso. Naamini muda ni msema kweli.
  13. GITWA

    JamiiForums Tanzania Tahadhari! Bahari Ina Roho Na Inaweza Kukuua

    Binadamu anazama kwa siku tatu baada ya hapo lazima maiti yake ielee juu ya maji na kusukumwa ufukweni. Labda awe maliwa na samaki au wanyama wa majini.
  14. GITWA

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Hii lineup sijaelewa kabisa yaani morgan anacheza kiungo au kiungo ni mmoja tu Lavia?
Back
Top Bottom