Recent content by girgirmo

  1. G

    DED Hanang na watu wako wa ardhi tendeni haki

    Ujumbe umefika subiri wataalam waje wasasambue tupate majibu
  2. G

    EWURA mko wapi: Baadhi ya vituo vimepandisha bei ya mafuta

    Ni jambo la kusikitisha sana baadhi ya sheli ndani ya wilaya ya hanang wanauza mafuta ya petroli tofauti na bei elekezi ya EWURA. Bei elekezi ya EWURA ina sema mafuta ya petroli ni shs 2147 sasa huku c.m.s kwa sheli moja inauzwa shs 2247 na hakubali akukatie risiti. ukidai risiti anakuambia...
  3. G

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    vodacom m pesa mnahuduma mbovu sana. leo nilikuwa najaribu kutoa pesa kwa wakala chakusikitisha wakala ananiambia hakupokea msg kutoka makao makuu. ikabidi nikae zaidi ya masaa 6 ndo wakamtumia msg wakala ili atoe pesa. huduma zenu mbovu sana hapa wilaya ya hanang eneo la cmsc
  4. G

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    naona watu wengi wametoa malalamiko yao lakini tanesco wamekaa kimya
  5. G

    Katika kilimo tunakosea nini hadi tunashindwa kutosheleza chakula chetu?

    Wana jf hapa najua kuna wataalamu wa kilimo. Sisi Watanzania asilimia kubwa ni wakulima, hata uwe mfanyakazi wa ajira sehem fulani baadhi yao wanalima. Kinachoniskitisha hapa kwani tunashindwa kutosheleza chakula chetu kwa kiwango kikubwa na wakati tunalima? Nchi ya Marekani robo ya watu...
  6. G

    Picha: Mwili wa Mtanzania aliyesukumwa toka gorofani umewasili

    mliopo endasak naomba tulekezeni kwao
  7. G

    Picha: Mwili wa Mtanzania aliyesukumwa toka gorofani umewasili

    husna upumzike kwa amani... sisi wanadamu sote njia yetu ni moja...amina
  8. G

    Picha: Mwili wa Mtanzania aliyesukumwa toka gorofani umewasili

    inaumiza sana wanadamu kutesana namna hii. naimani na naomba muamini kuwa hakuna binadam atakayesalia katika uso huu wa dunia. lazima wote tutakufa tu. umemtanguliza mwenzako lakini najua kuwa yako nayo yaja. inawezekana utakufa kwa kifo kibaya zaidi
  9. G

    Ummy asema maombi ya madaktari kwenda Kenya yanamiminika wizarani

    jamani madaktari mkikubali nendeni.....................lakini kwa kenye mtarudi mkiwa vipande au vilema
  10. G

    Askofu Gwajima aitwa Ustawi wa Jamii kuhojiwa

    hivi unajua kutokuwa na elimu ni shidaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa? we ulimwengu wa sasa humdanganyi mtu. sawa gwajima akubali huo msalaba na wakapime DNA ispoonyesha kuwa mtoto si wa gwajima.... bashite achukuliwe hatua za kisheria
  11. G

    Askofu Chimeledya asema leo mwisho kwa Mokiwa, anaviachia vyombo vya dola vifanye kazi

    bwana asemi hata sasa nirudieni mimi kwa mioyo yenu yote.... naomba msigombanie madhabahu ya bwana nakati anawaona.
  12. G

    Ummy asema maombi ya madaktari kwenda Kenya yanamiminika wizarani

    hivi jamani nchi yetu ina njaa alafu we unatoa chakula nje ya nchii huu si uendawazimu? tanzania tuna madaktari wachache mno lakinii nchi kama nchi inawatafutia ajira nje ya nchii. hii ni akili au uendawazimu? tusubiri bunge la budget mwezi wa nne fadha za kuajiri wataalam wapya ilitolewa mwaka...
  13. G

    UKARABATI WA BARABARA KUTIKA KATESH KWENDA HYDOM

    hawa wanatakiwa wacgukuliwe hatua za kisheria.unaongoza kazi kwa kutumia sim. utapel mkubwa huu.
  14. G

    Rais wa Zanzibar, Dr. Shein: Mkitaka kuzima umeme zimeni, tutawasha vibatari

    poke magufuli jirani yako amekutunishia msuli na amesema serikali yake haitishwi kukatiwa umeme sasa thubutu... muungano umekwisha
  15. G

    Kisiwa cha Ukara (Ukara Island)

    ukara ndo naisikia leo.. endelea kutujuza kisiwa kilivyo.hali ya uchumi
Back
Top Bottom