habari za humu wana jf.Nilikuwa na pita kwa gari kutoka hydom kwenda katesh. niliwauliza raia wa eneo wanalokarabati wa SMCS wanasema kampuni inayokarabati barabara hiyo ni kampuni ya elerai ambao ndo walioshika contract ya ukarabati huu. kabla ya kufika katesh eneo wanalosema njia panda ya mogitu kuelekea hydom ningelikuta kibao kinachoonyesha kampuni kinachofanya ukarabati huo lakini sikuiona. kampuni hii wanachokifanya ni uhuni mkubwa sana. unapofanya ukabati wa barabara lazima barabara litifuliwe kwanza ndo umwage moram ili uweze kuchanganya vizuri afu lishindiliwe kwa compressorr(tinga za kushindia) ili kujenga uimara wa barabara. cha aajabu nilichokikuta hapo hawa wakandarasi wanamwaga moram juu ya barabara ambayo hata haikutifuliwa afu
ndo wanashindilia. wakati wanaleta moram kwa magari yenye ujazo
wa 5 zinamwaga kwenye vifusi vidogovidogo. yaani gari moja
linamwaga vifusi vidogovidogo 5 ndo caterpila linanza kusambaza na
kushindiliwa ambapo linatengeneza layer ndogo kiasi kwamba
linaisha kwa muda mfupi.baadaye wanakuja wahandisi wa mkoa
kupima ile compactment ya barabara.wakati wanapochimba kina
cha mshindilio wanakutana na ile layer ya kwanza iliyopo ambacho
hawakutifua udongo huo hupelekwa maabara kwa vipimo na
itaonyesha majibu mazuri tu bcoz ya structure ya layer ambayo
haikiutifuliwa itaonyesha kuwa ngumu.chakunishangaza hakuna site
enginear yoyote pale awe wa serikali au wa kampuni ambaye
husimamia matengenezo hayo.isitoshe barabara hii ya hydom ni uti
wa mgongo kwa mkoa wa manyara maana refferal zote za wagonjwa
zinapitia juu ya hiyo barabara kuelekea hydom.sasa tukiichezea hivi
mbona mnatuangamiza
meneja wa TANROAD.manyara upo wapi? hizi pesa umezitolea.mfukoni kwako au pesa ulizopewa na saerikali. kwanini mkandarasi anayefanya kazi katika eneo hilo hana kibao cha kuonyesha kuwa anafanya kazi katika eneo hilo.wakati wa ukarabati kwanini huna site enginear amabye anasimamia kazi hiyo? mkuu wa mkoa wa manyara ndugu bendera unafahamu kazi hiyo? au wamepeana kiundugu.mkuu wa wilaya ya hanang sara msafiri unafahamu kuwa kunamkandarasi anafanya kazi katika eneo hilo wa kampuni ya elerai? ndo maana barabara zetu zinaharibika kwa mud mfupi sana. inaumiza sana kuona shughuli za kizembe kama hizi.